Tuesday, October 30, 2012
Brand New Track:Dj .D ommy ft Tash,Climax,Chibwa,Nas 3,Picasso,B-GWAY,King Kapita & Fido Dido -Beki Hazikabi (Prod.Jimmy Jizze Roccana Basement)
Ngoma Mpya Ya Dj D.Ommy akiwashirikisha Mcs Kibao kama Tash,Climax, Chibwa,Nas3,Picasso Bgway,King KapitA NA fIDO DIDO ngoma inaitwa Beki Hazikabi
ikitengezwa chini ya Basement Kali Ya Roccana IKIONGOZWA Na Producer Jimmy Jizze Pakua Hii Ngoma Chini Hapa
DOWNLOAD HAPA
Trailer Bum Kubam DVD-Official
Ni wimboDVD, inayoungaunisha hisia za mwana hip hop NIKKI WA PILI na msikilizaji katika namna ya mawasiliano ya moja kwa
moja, zao la wimbo bum kubam, uzalishaji,simulizi, video, mawazo ya wengine, mitindo huru. story ya wimbo katika vitendo na namna wimbo unavyoishi katika maisha yetu ya kila siku. Ni RAP, Ni Hip Hop, Ni Ukweli mtupu.Hii ni ya kwanza kutokea Tanzania...Itakua mtaani hivi karibuni.
Fuatilia kupitia group ya facebook, Bum Kubam DVD au www.fichuka.com
Monday, October 29, 2012
Burney Mc Uganda Mc on THE JUMP OFF with KING SHOVON MALCOM
Burney Mc on the Jump Off talking about The End Of The Weak Mc Mic Challenge 2012
Friday, October 26, 2012
Niga C wa Jambo Squad aelezea sababu za kuachia wimbo wa ‘Dogo Mbumbumbu’, ndiye alimbatiza jina la Dogo Janja.
Member wa kundi la Jambo squad lenye base yake Arusha City, Niga C amefunguka sababu zilizofanya aachie wimbo unaoitwa ‘dogo mbumbumbu’ambao ni diss direct kwa msanii aliyepata umaarufu akiwa na umri mdogo kwa jina la Dogo janja ambae sasa hivi anaitwa ‘Janjaro’ baada ya kudai umri hauruhusu tena kuitwa dogo.
Katika interview aliyofanya na JOSE mtangazaji wa VICTORIA FM, NIGGA C alisema kuwa....
“Unajua hata hili jina la dogo janja mimi ndiye niliyembatiza, nilimpa wimbo wangu unaoitwa sijisikii kufanya mapenzi na hapo ndipo jina la dogo janja lilipoanzia sasa dogo anajisikia kwamba akitoka akishapata mambo flaniflani, siunajua maskini akipata matako hulia mbwanta, ushansoma, dogo anazingua dharau nyingi nini na nini. Kwa mimi sio kwamba nimemponda pale nimemuelimisha tu. Mimi ndiye niliyempa jina la dogo janja nimemvua hilo jina nimempa dogo mbumbumbu, lakini haina maana kuwa namchukia kwa sababu nauhakika atakuja tu siku si nyingi si unajua yule ni mtoto tu. Kwa hiyo ile sio beef kwa sababu hata ukisikiliza mashairi nilioimba pale sio beef nimeongea ukweli, ningekuwa namchana mchano mwingine tofauti hapo ingeonekana ni beef. Lakini yule ni mdogo wangu nililalala nae kitanda kimoja, sahani moja tumekula, nimembeba mgongoni yule akiumwa mimi, kwa hiyo anapokuwa na kosa lazima niwe namwambia na lazima niwe namuadhibu na hapaswi mtu mwingine yeyote kuingilia kwenye swala hili, so sio beef na sio nimemdiss, nimemuelimisha kama mdogo wangu.”
Alipoulizwa kama alishawahi kuwasiliana na Janjaro baada ya kuachia hiyo ngoma ya ‘dogo mbumbumbu’ mkali huyo toka Jambo Squad wanaotamba na ngoma kibao ikiwemo Mamong’oo alifunguka, “siwezi kuwasiliana nae kwa sababu kilichosabisha nikaachia hiyo ngoma yake ni dharau zake yeye, kwa hiyo nimeshaanchia ngoma japo yeye alishanitumia message kibao yeye na meneja wake yule Ustadh Juma za matitisho matisho nini, lakini nauhakika kwa sababu yuko pale sasa hivi lakini akipata matatizo mi ndio mtu wa kwanza kunipigia simu na mimi ndio mtu ambae namsaidia siku zote yani, ushansoma, kwa hiyo mimi sioni hatari, sioni hatari yani.”
Thursday, October 25, 2012
Brand New Track : King Kapita ft Tash - Shikamoo Pesa
ANAITWA KINGKAPITA ZAMANI ALIFAHAMIKA KAMA RICHBOI AMBAE NI MWANAMZIKI WA BONGO HIPHOP ALIEWEZA KUFANYA VIZURI KATIKA NGOMA KAMA YA HERE WE GO AKIWA NA WAKACHA IKIWA NA WASANII KAMA JUX,NAS 3,GIGGA FLO NA KID,PIA NA HIT TRACK ACHAAA ALIO IMBA NA NAS 3 BAADAE HIT INAYOKWENDA KWA JINA LA MTOTO MLITO ALIOIMBA NA NAS 3 WAKIMSHIRIKISHA RICH MAVOCO SASA ANAKUJA TENA NA NGOMA KALI YA MWAKA!!
ARTIST: KINGKAPITA
SONG:SHIKAMOO PESA
FEAT:TASH
STUDIO:ROCCANA BASEMENT
PRODUCER: JIMMY JIZZE& TRAVELLER
ANAOMBA SUPPORT YENU SIKILIZA IO NYIMBO HAPO CHINI
Official Video :Nash Mc - V.V.U .Dr Tawakal Khamis.
V.V.U VINA VIKALI USIPIME NI WIMBO WA NASH EMCEE ULIOMO KWENYE SANTURI YAKE YA MZIMU WA SHAABAN ROBERT!
NELLY aongea kuhusu BUS lake
October 11 ilikuwa siku ya nelly ya mawazo kutokana na msafara wake kusimamishwa baada ya bus ambalo alikuwa nalo kwenye msafara wake kushtukiwa kuwa na madawa ya kulevya aina ya heroin zaidi ya pacti 10 pamoja na marijuana vyote hivyo viliwekwa kwenye gari hilo na mmoja kati ya wafanyakazi wake aliye mtaja kwa jina Brian Keith Jones na alikamatwa na mwisho nelly kuandika maelezo baadaye na kuendelea na safari.
Siku ya jana aliongea na kusema kuwa kiukweli amejikuta kwenye wakati mgumu sana baada ya kuona kila mtu anataka kujua kupita mimi kwamba ilikuaje na je why sikukagua gari ila kuanzia sasa nimejifunza na ntakuwa makini na wafanya kazi wangu ilikuweka hali ya kutoonekana mwalifu kwa watu na mashabiki wangu.
MEEK MILL afunguka juu ya "IN GOD WE TRUST"
Meek Mill amesema kuwa ujio huo ameuandaa kwa ajili ya album yake ya mwisho wa mwezi huu ya Dreams and Nightmares ambayo amefanya kwenye vyungu vya bwana mkubwa rick ross kwenye label ya Maybach Music group akafunguka pia kwamba video kadha amesha ziachia pamoja na kuachia tracklist ya project hiyo na kusema kwenye "In God We Trust," nikwamba amefunguka na kusema kwamba ameweka maisha halisi ya mtaani yalivyo kwa sasa na kuongeza kwamba yote hayo maisha ni kuhusu mapenzi pamoja na pesa kwa kila mtu.
Monday, October 22, 2012
Albamu ya Mansulii-Kina Kirefu Yaingia Mtaani
KUPITIA RECORD LABEL YA TAMADUNIMUZIK NA SI KUNDI KAMA MNAVYODHANI,SANTURI YA MANSU LI,NYOTA WA SINZA AU MZEE WA KUGONGA MIKATO YA DICKIES,ANAEJULIKANA KAMA MANSULII,IITWAYO KINA KIREFU ITAKUA MTAANI KUANZIA JUMATANO HII TAREHE 25,
ALBUM ITAPATIKANA KUPITIA HIZI NAMBA
0784 35 16 67
NASH MC 0769 52 23 46,
TAFADHALI PIGA NAMBA HIZO KAMA UTAHITAJI CD NA SIO VINGINE.NA WALE WA MIKOANI KUANZIA JUMATATU TUTATANGAZA WAENDE WAPI KWENYE MIKOA YAO!TAMADUNIMUZIK MILELE.
Sunday, October 21, 2012
Saturday, October 20, 2012
X Plastaz - Achana Nao - SHULE MIXTAPE (Intro) Prod By KZ-The Soul Plugger
X Plastaz Achana Nao - Intro for The (SHULE) (Knowledge) MixTape
NOT Bongo Flava,
East African / Tanzanian Hip Hop.
Language: Swahili
Fan page: http://facebook.com/xplastaz
Official website: www.xplastazmusic.com
Check out more on African hip hop at www.africanhiphop.com
Beats: http://www.reverbnation.com/KEMP
The Soul Plugger:https://www.facebook.com/kmoso
Shule Mixtape out Nov 24th
Official Mixtape Cover Mpya ya Yung Buck
Hii Ndio Mixtape Cover ya Rapper Young Buck aliepotea kwa kipindi kirefu...Hivi Karibuni Mwezi Ujao atadondosha Mixtape inayokwenda kwa jina la Bond Money(Hosted By Evil Empire) KupitiA www.vivaconscious.tk utapata free download ya mixtape hio.
CHIKU KETO AMALIZA VIDEO YA MZUKA......
Baada ya kutoa video iliyo shangaza wengi kwa staili ya kuvaa mavazi ya kike tofauti na wengi walivyo mzoea leo Chiku keto kazungumza na VIVA CONSCIOUS ARTS PRESENTING ASSISTANT MANAGER na kusema kuwa sasa ni muda wa kazi “asante Mungu nimemaliza video ya wimbo wangu wa mzuka salama na kazi nzuri hiyo nimefanya na KWANZA VIDEOZ “. Na kama kuwa tayari ni mpaka j3 itakuwa tayari kwa kuonekana.
Friday, October 19, 2012
Hivi Karibuni kutoka Jikoni ..BLACK WA USWAZI ARUDI
Baada ya Kimya Kirefu ,moja kati ya Rapper wakali waliowahi kutikisa Media za Bongo na Industry ya muziki kiujumla ,anarudi na ujio wa ngoma kali baada ya hit kadhaa za kwake kama ...MAMA ,SEMA OOH ,Na ya MWISHO aliomshirikisha Domokaya
Ameamua Kuingia Jikoni pale BONGO RECORDS Na amefanya ngoma Mpya inaitwa USIGUSE ambayo amemshirikisHa AVELI kutoka cAPITAL lETAZ Na P FUNK Ambaye ndie Producer wa Ngoma Hio...na Ameweka Wazi Kua ataachia AUDIO NA VIDEO Kwa Wakati Mmoja.
Endelea Kutembelea bLOG HII ambayo itakuletea Official Release ya Ngoma HIO Ambayo inatazamiwa kusumbua media tz.
www.vivaconscious.tk
Brand New Video : Ivani - Lonely Official Video) Visualized by Hanscana dE Lavenche
Artist..IVANI
song...LONELY
Studio..DEFATALITY
Producer..MESEN SELEKTA
D.o.p...SAGE and SHAN
FINAL VIDEOS
Vissualized by.. HANSCANA dE LAVENCHE
Contact
IVAN +255 659 430 461
Hanscana +255 717 652 500
Kundi la Tanchy(Chibwa na Tanah) kufanya Video ya summer time Nchini Marekani
Kundi La Tanchy linaloundwa na Wasanii waili ..Chibwa Na Tanah wapo katika Maandalizi Ya Mwisho kuelekea Nchini Marekani kufanya Video ya wimbo wao wa Summer time riddim ambao ulifanywa Na Producer Mdogo Mesen selekta wa De Fatality Studios..
Viva Arts Iliongea Na Chibwa Na Kupata uhakiaka wa Habari hio na Kwamba Video Itafanywa Marekani..Na Kuwaomba mashabiki wake kuwa waendelee ku request na Kupakua kila siku nyimbo katika Mtandao ..
Kwa Wale ambao hawa kuipata Audio ya ngoma hio
unaweza ipakua hapa
ENJOY
Dj Drama Ataka T.I alimalize Beef la Rick Rosss na Young Jeezy
Dj Drama Mmoja wa Ma Dj wakali State amesema anaona T.I ndie Mtu yeye angependa amuone akimaliza Beef inayoendelea hivi sasa kati ya Rick Ross na Young Jeezy na anafikiri T.I NI Mtu Pekee anaeweza Kufanikisha Hilo
Ilionekana kila mtu akitoa maoni yake kuhusu beef hio ya Young Jeezy na rick ross na wakiona vema ikitokea wakfanya Ngoma /nyimbo Pamoja na Beef Hilo kuisha, na mmoja wa watu aliekuwa katikati yao siku ya ugomvi Backstage ya mtv alikua dj drama na ndie alikua mtu wa kwanza u report ugomvi huo pindi umeanza kutokea.
Binafsi Drama anaomba mwisho wa msuguano kati ya Rozay na Snowman na kumtaka T.I Kujaribu kuwaweka sawa.
Katika Interview na Mtandao wa This is 50.com ,drama alisema " Naelewa wawili hawa hawawezi kukaa Pamoja lakini Nafikiria kuwaunganisha na kufanya Kazi moja wote wawili wakiwemo, Labda Rozay na Jeezy hawatokua marafiki tena , labda hawatoweza pata Dinner pamoja tena Lakini naamini Tutapata muziki mzuri kutoka kwa collaboration Yao wawili
Japokua ,T.I katika moja ya Nyimbo zake alinukuliwa akisema Hajali bifu yoyote kati ya Roozay ,jeezy na Gucci Manne.drama anatumaini kutoka kwangu labda ntafanikisha lakini hii ishakua wazi mbele ya jamii labda mtu mwingine aingilie hii, lada marafiki zao wanaweza kuwaweka sawa pamoja.
Kwa kudhihirisha kua ni Mfalme wa South , nina Mengi ya Muhimu ya kuangalia,drama bado anawaza jinsi ya Kuwahoji vizuri na kuamini atalimaliza Beef hili.
Naweza Sema Ni wazo zuri la kwanza kutoka kwake kwa hio nitalifanyan hivyo kama yeye anavyopenda nifanye katika beef hili kwa sababu nawaheshimu wote watatu."
http://www.hotnewhiphop.com/dj-drama-talks-t-i-ending-ross-and-jeezy-beef-video.7640.html
Wednesday, October 17, 2012
Mtiririko Cypher Episode 1 : Northdwellers,Dee Cee&Banx
Mtiririko Cypher Ep 01-Slim Deezy,Geors,Dee Cee,Kichomi,Banx
Produced by Grandmaster Recods,clips shot by Dennis Mallya of Grandmaster Records,VIdeo Edited by Banx and DX of HoodPixx
Official Video: Mabeste ft Jux - sirudi tena (Visualized by HK)
This Is Official Video of Track Song Sirudi Tena Of Mabeste Hip hop artist From Tanzania featured Jux ..a Tanzanian RnB singer.
Audio Version has being Recorded at B hits Studios.Produced by Pancho Latino and Mastered by One of the Universal studios member Hermy B who also A Producer of B HITS STUDIOS..
Video has being done under Hk vision video Production owned by Hassan Kundamayi.
Monday, October 15, 2012
Happy Birthday To My Mother.."Mama Joseph viva"
Today is the birthday of my lovely Mother ,Mrs Rehema Lungwa Mahumi..Your son wish you Million years of Life...Love You Mama
Aujourd'hui c'est l'anniversaire de ma mère charmante, Mme Rehema Lungwa Mahumi.. Votre fils vous souhaitez millions d'années de vie ... Love You Mama
ज मेरी प्यारी माँ, श्रीमती Rehema Mahumi .. आपका बेटा आप चाहते हैं जीवन के लाख साल जन्मदिन है ... प्यार तुम माँ
hoy es el cumpleaños de mi madre encantadora, señora Rehema Mahumi .. Su hijo quiere Millones de años de vida ... Love You Mama
hari ini adalah hari jadi Ibu yang indah saya, Puan Rehema Mahumi .. Anak anda ingin anda Juta tahun Kehidupan ... Love You Mama
Kitabu Cha Chuo Kikuu cha Hip Hop Ndani ya DODOMA
Katika Mwendelezo wa Tour yake Nchini ..Tamaduni Muziki Ambayo inaundwa na Mcs Wengi wnye uwezo kama Malle ., Songa , Nash Mcee, One The Incredible, Stereo , Young Killer, Azma , Na WENGINEO .Tarehe 20 mwezi Huu wa Kumi watakuwepo Pale NK CLUB....Sambamba Na Bidhaa zao Namaanisha Santuri zao, Fulana zao na Kanda mseto
KubwA Zaidi ni ujio wa Kitabu cha CHUO KIKUU CHA HIP HOP Kilichoandikwa na Malle Marxist ..Ambacho kitakua kinauzwa kwa tsh 7000
SO MSIKOSE... SIKU HIYO... mpate tumbuizo murua kutoka tamadunimuzik
KEEP IT UP FOR HIP HOP
Sunday, October 14, 2012
Saturday, October 13, 2012
Brand New Track : Kevoo , Viva Conscious ft Muu-Manguli wa Kindai( Prod. Bgway)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie3Rg8t-JdU8N3OOEsnCLFx8rz76nJvCaB5S8PtdGcLg2G3tbnlX8FvGOu28sbjWUbL9FOCCiJONqw-wGGUGfkRamd1zahQkMjzXRYyFH2MG-S_UIm_Km_s5cvUdpuP_nmyqBxy4HBoSM/s400/2858_365943710149713_1586281270_n.jpg)
Friday, October 12, 2012
Maisha Ya Ujana - Shah Bang Ft. Nisher - (Official Music Video Release)
A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, (SHAH BANG FT. NISHER Official Music Video Release) SHOT IN ARUSHA TANZANIA....
IF your interested IN full-hd 1920x1080 MUSIC VIDEOS, AND YOU NEED TO FILM YOURS CALL NISHER ENTERTAINMENT NOW ....+255 785 95 95 99
for more music videos check these links
www.facebook.com/nisherbaby
www.reverbnation.com/nisher
www.twitter.com/nisher_
www.youtube.com/nisherrr
ENJOY
Wednesday, October 10, 2012
S.U.A This 14th october..Maalim Nash Ndani
"..BACK TO THE SUA!!..
BACK;BACK TO THE SUA!!!...
NIKISEMA SU...MNASEMA SUA!!
SU...((SUA!!!!!!!)
SU...((SUA!!!!!))
Another episode tena;freestage ya kurepresent HIP-HOP ni pale pale Kijenge Juu mwisho wa Daladala..*WATENGWA*..
Wote tuwepo kwa wingi kama kawaida GUEST akiwa MAALIM NASH a.k.a Msitu wa Vina mpaka Macca;mi namuita MZIMU WA SHABAAN ROBERT akitoa ufafanuzi na kuelimisha juu ya sanaa ya Hip-Hop na matumizi ya lugha kiswahili kughani..ni 14th-October;sio ya kukosa!!!"
Brand New Video: Izze Martin ft Millyo- Sema Mapema (Official Video)
Directed, Shot and Edited By JERRY MUSHALA
Artist: IZZE MARTIN & MILYO
Song: SEMA MAPEMA
Producer: KARA LEE
Used Canon T2i/550d with canon 16-35mm f/2.8 & canon 50mm f/1.8 lens (ISO btw 400-800)1080p 24fps rendered to 720p 24fps.
Used adobe premier pro (CS5)
DIY fluorescent lights and a cheap tripod
Jambo Squard Ndani ya Club AQ Ijumaa Hii
Ijumaa ya Wiki Hii Ndani ya Club AQ Jambo Squard a.k.a Mamong'oo ikiongozwa na Chalii Mtoto wa Bibi a.k.a Nigger C watalalisha Show kali ya laana kama kawaida Yao .. .Show itakua ya Kukaribisha WanaVyou waliotoka Likizo...
Watu WatarukaDisco Malapa Na Ngoma Kali kama Jogoo Kichaa..
Kiingilio ni Buku Tano 5000.... UUUWWEEEEEEEEEH NDIO SLOGAN YA SASA
Saturday, October 6, 2012
Mjue Gentriez Mwakitabu Msanii Kutoka River Camp
Jina Kamili : Gentriez Edward Mwakitabu
Borned : 26th December 1990/b>
He started Music Industry engaging when he was 15 years Old ..UNDER Hip Hop Basement River Camp Soldiers which included Many rappers Like Joh Makini, Nikki wa Pili, Bonta, Shah Bang , Ras Omega and Others.
He signed Wanene Entertainment Under Darsh Pandit which its a main basement of supporting Hip hop music In arusha WHich ALSO Signed Loius Hammock From Uk and The Artist froma United State
here are contacts which You can Visit Gentriez Music
Facebook :
Twitter :
Reverbnation :
Friday, October 5, 2012
Mfahamu Msaniii CHipukizi Kutoka Tanzania Anaefanya sweet Reggae nzuri anaeishi Sweeden
Kwa Jina anaitwa Orinta. Lovely Ni Mwanafunzi ila kilichonifanya kumwandika humu ni kutokana na umahiri wa tungo za nyimbo zake na uwezo wake wa sauti kufika mahala pa kutambulika kama msanii mpya wa Sweet reggae Flava... Bonafsi nimepta kusikilizza Kibao chake Kipya alichofanya Tatoo record hapa Dar-es-salaam na Ni Kipaji cha aina Yake .. jE unataka kufahamu alianza lini music, Na nini Kilichomsukuma kufanya music
Kesho usikose....
http://vivaconscious.blogspot.com/2012/08/brand-new-track-orinta-nilijua.html
Mariah Carey Tells Barbara Walters Nicki Minaj Threatened To Shoot Her, Nicki Responds
Mariah Carey adds more fuel to the fire after the fight between her and Nicki Minaj was caught on tape during the filming of American Idol.
The Nicki Minaj-Mariah Carey drama continues, and it seems like the producers of American Idol will have their hands full this season, as Nicki Minaj promises the feud isn't over.
We reported on the first incident, when Nicki Minaj was caught on tape yelling at Mariah, and she also allegedly threatened to knock Mariah out (which wasn't caught on tape).
Mariah Carey then talked to Barbara Walters and told her that Nicki had threatened to shoot her, as TMZ reports. Walters, who appeared on The View, said that Mariah was concerned because, allegedly, "Nicki walked off the set and multiple people heard Nicki say, 'If I had a gun I would shoot the bitch.'"
Nicki has taken to Twitter to talk about the situation. She tweeted in regards to Barbara Walters, "Barbara walters didn't reach out from our team barbz. I guess we're too dangerous. Don't shake if u don't wannA get shook!!!! LmAooooooooooo. I don't call tmz n Barbara Walters cuz I stand on my own two feet. Never needed an army. God is good. Insecurity is as cruel as the grave." She continues, "I guess it hurts 2 have the producers tell u to ur face that nicki is the best judge we've had since simon. Awww, poor u. Keep them lies cmn."
Nicki's Twitter rant continued, "I thought we resolved it yesterday but I see u want ur pity party to continue. So I'm bout to po dot tea... All I do is compliment u. That's not enuff? Ur a legend, cheer up. U don't have to run down ur resume or feel intimidated. Shady McGrady..."
I don't call tmz n Barbara Walters cuz I stand on my own two feet. Never needed an army. God is good. Insecurity is as cruel as the grave.
— Nicki Minaj (@NICKIMINAJ) October 4, 2012
I don't call tmz n Barbara Walters cuz I stand on my own two feet. Never needed an army. God is good. Insecurity is as cruel as the grave.
— Nicki Minaj (@NICKIMINAJ) October 4, 2012
All I do is compliment u. That's not enuff? Ur a legend, cheer up. U don't have to run down ur resume or feel intimidated. Shady McGrady...
— Nicki Minaj (@NICKIMINAJ) October 4, 2012
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
Popular Posts
-
New Music Kutoka kwa Nigga c Chalii mtoto wa Bibi Mmoja ya wasanii wanaounda Kundi la Jambo Squard akiwa Na Jordan Kutoka GrandMaster...
Powered by Blogger.
Category
- abas adam
- Abrah Mbili2
- Admo
- Afande
- AFRICA TOP 10
- Afrocentric
- Aika
- Almando rizzy chafu
- Ambasador lounge
- amp
- Antoneyo
- Arusha
- Asante
- b.baffa
- Belle 9
- BEN POL
- Best Of The Best
- Big Sean
- black caddy
- Bonta
- BR MARUNGI
- Burn It Up
- CHABA
- Chibwa wa Tanchy
- Chiku k
- Chin Bees
- Christopher wallace
- Classic Boyz
- Common
- Country Boy
- Danny Joe
- Darasa
- Darsh Pandit
- De Fatality Music
- dee cee
- Deno
- DJ d ommy
- Dogo Janja
- Dope
- Drama
- Dully Sykes
- Dupy
- DVD
- Dx
- EMARKS
- Eslyne
- Essie
- Falling
- for The People
- Foreign
- Gentriez
- Gnako
- Godzila
- Goncher
- Good Music
- GoodNation
- gRandMaster
- Hakeem 5
- HiP hOP MUSIC
- Home town
- HotJerry
- Huddah The Boss
- I DON CARE
- I'M SINGLE
- Ilumination
- INCREDIBLEoNE
- Jaco Beats
- Jambo Squard
- Janjaro
- JCB
- Joh Makini
- Josiah
- Juru
- Justice
- KARIBU
- Kazi
- Kenyan
- KEVIN BOSCO JR
- kEVOO KP
- Kid Cudi
- King Kapita
- King Zilla
- Kuna Tatizo Kwani
- kYA gRYNDr
- Last Kings
- Leo
- Leta Badae
- Lord Eyez
- louis hammock
- love
- Lyrikal Proof
- Maarifa
- mac daddy
- Machizi Flani
- Maisha ya Skonga
- Majembe Records
- Malaika
- Mama yeyoo
- mANEVIA
- Masebo
- Mecca Cheka
- Mesen Selekta
- mixtape
- Mj Records
- Mona Gangstar
- Monty col
- Mrap
- MSONGO WA MAWAZO
- Mtanashati
- MuleMuleMusic
- MUSIC
- Music Kuntu
- MusicKuntuBlog
- mWAMBIE NA MWENZIO
- nahreel
- NASH MC
- New Song
- Ney wa Mitego
- Nguli la kindai
- Nimezama
- Nishai
- Nisher
- No Silence
- Noizmekah
- on the way
- ONO THE FUTURE
- Ostaz juma
- Penta
- Pnc
- Prezzo
- Q The Don
- Quick Rocka
- R.I.P NGWEAR
- Rapper for Tanzania Rap City
- Rash Don
- Roccana
- Salmin Swaggz
- Sam Timber
- Shah Bang
- Shasho
- Show la kibabe
- sITAKI
- Slim Sal
- Soulja Boy
- Stamina
- Suba mkole
- Suma Mnazareti
- Swahili Kid
- Swit
- Tannah wa Tanchy
- tanzania
- Tash
- Tidah Dideh
- Tyga
- Ub One
- Unajidai Nini
- Uprise Music
- USINIDANGANYE
- Vanesa Mdee
- Video shooting mama la mama
- viva
- Viva Conscious
- viva music
- Viva Promo Only
- Walk out
- wanene
- Wanene Entertainment
- Warda
- Watch me
- Watu Buu
- wILLY
- Wise one
- wIZO
- Yb Masta
- YMCMB
- Young Killer
- Young Rich