Friday, October 19, 2012
Dj Drama Ataka T.I alimalize Beef la Rick Rosss na Young Jeezy
Posted by Viva Conscious on 1:09 AM in | Comments : 0
Dj Drama Mmoja wa Ma Dj wakali State amesema anaona T.I ndie Mtu yeye angependa amuone akimaliza Beef inayoendelea hivi sasa kati ya Rick Ross na Young Jeezy na anafikiri T.I NI Mtu Pekee anaeweza Kufanikisha Hilo
Ilionekana kila mtu akitoa maoni yake kuhusu beef hio ya Young Jeezy na rick ross na wakiona vema ikitokea wakfanya Ngoma /nyimbo Pamoja na Beef Hilo kuisha, na mmoja wa watu aliekuwa katikati yao siku ya ugomvi Backstage ya mtv alikua dj drama na ndie alikua mtu wa kwanza u report ugomvi huo pindi umeanza kutokea.
Binafsi Drama anaomba mwisho wa msuguano kati ya Rozay na Snowman na kumtaka T.I Kujaribu kuwaweka sawa.
Katika Interview na Mtandao wa This is 50.com ,drama alisema " Naelewa wawili hawa hawawezi kukaa Pamoja lakini Nafikiria kuwaunganisha na kufanya Kazi moja wote wawili wakiwemo, Labda Rozay na Jeezy hawatokua marafiki tena , labda hawatoweza pata Dinner pamoja tena Lakini naamini Tutapata muziki mzuri kutoka kwa collaboration Yao wawili
Japokua ,T.I katika moja ya Nyimbo zake alinukuliwa akisema Hajali bifu yoyote kati ya Roozay ,jeezy na Gucci Manne.drama anatumaini kutoka kwangu labda ntafanikisha lakini hii ishakua wazi mbele ya jamii labda mtu mwingine aingilie hii, lada marafiki zao wanaweza kuwaweka sawa pamoja.
Kwa kudhihirisha kua ni Mfalme wa South , nina Mengi ya Muhimu ya kuangalia,drama bado anawaza jinsi ya Kuwahoji vizuri na kuamini atalimaliza Beef hili.
Naweza Sema Ni wazo zuri la kwanza kutoka kwake kwa hio nitalifanyan hivyo kama yeye anavyopenda nifanye katika beef hili kwa sababu nawaheshimu wote watatu."
http://www.hotnewhiphop.com/dj-drama-talks-t-i-ending-ross-and-jeezy-beef-video.7640.html
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment