Monday, October 15, 2012
Kitabu Cha Chuo Kikuu cha Hip Hop Ndani ya DODOMA
Posted by Viva Conscious on 3:46 PM in | Comments : 0
Katika Mwendelezo wa Tour yake Nchini ..Tamaduni Muziki Ambayo inaundwa na Mcs Wengi wnye uwezo kama Malle ., Songa , Nash Mcee, One The Incredible, Stereo , Young Killer, Azma , Na WENGINEO .Tarehe 20 mwezi Huu wa Kumi watakuwepo Pale NK CLUB....Sambamba Na Bidhaa zao Namaanisha Santuri zao, Fulana zao na Kanda mseto
KubwA Zaidi ni ujio wa Kitabu cha CHUO KIKUU CHA HIP HOP Kilichoandikwa na Malle Marxist ..Ambacho kitakua kinauzwa kwa tsh 7000
SO MSIKOSE... SIKU HIYO... mpate tumbuizo murua kutoka tamadunimuzik
KEEP IT UP FOR HIP HOP
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment