Thursday, October 25, 2012
NELLY aongea kuhusu BUS lake
Posted by Viva Conscious on 1:42 AM in | Comments : 0
October 11 ilikuwa siku ya nelly ya mawazo kutokana na msafara wake kusimamishwa baada ya bus ambalo alikuwa nalo kwenye msafara wake kushtukiwa kuwa na madawa ya kulevya aina ya heroin zaidi ya pacti 10 pamoja na marijuana vyote hivyo viliwekwa kwenye gari hilo na mmoja kati ya wafanyakazi wake aliye mtaja kwa jina Brian Keith Jones na alikamatwa na mwisho nelly kuandika maelezo baadaye na kuendelea na safari.
Siku ya jana aliongea na kusema kuwa kiukweli amejikuta kwenye wakati mgumu sana baada ya kuona kila mtu anataka kujua kupita mimi kwamba ilikuaje na je why sikukagua gari ila kuanzia sasa nimejifunza na ntakuwa makini na wafanya kazi wangu ilikuweka hali ya kutoonekana mwalifu kwa watu na mashabiki wangu.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment