Friday, October 19, 2012
Hivi Karibuni kutoka Jikoni ..BLACK WA USWAZI ARUDI
Posted by Viva Conscious on 3:22 AM in | Comments : 0
Baada ya Kimya Kirefu ,moja kati ya Rapper wakali waliowahi kutikisa Media za Bongo na Industry ya muziki kiujumla ,anarudi na ujio wa ngoma kali baada ya hit kadhaa za kwake kama ...MAMA ,SEMA OOH ,Na ya MWISHO aliomshirikisha Domokaya
Ameamua Kuingia Jikoni pale BONGO RECORDS Na amefanya ngoma Mpya inaitwa USIGUSE ambayo amemshirikisHa AVELI kutoka cAPITAL lETAZ Na P FUNK Ambaye ndie Producer wa Ngoma Hio...na Ameweka Wazi Kua ataachia AUDIO NA VIDEO Kwa Wakati Mmoja.
Endelea Kutembelea bLOG HII ambayo itakuletea Official Release ya Ngoma HIO Ambayo inatazamiwa kusumbua media tz.
www.vivaconscious.tk
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment