Friday, October 26, 2012
JESUS PIECE ya mtu mzima THE GAME coming soon....
Posted by Viva Conscious on 11:56 PM in | Comments : 0
album ya mtu mzma THE GAME aliyoipa jina la JESUS PIECE inatarajiwa kutoka hivi karibuni, akizungumza na kituo kimoja cha radio nchini marekani THE GAME amedai kuwa album hiyo itakua kitaa kuanzia tarehe 12-11-2012...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment