Friday, October 19, 2012
Kundi la Tanchy(Chibwa na Tanah) kufanya Video ya summer time Nchini Marekani
Posted by Viva Conscious on 1:57 AM in | Comments : 0
Kundi La Tanchy linaloundwa na Wasanii waili ..Chibwa Na Tanah wapo katika Maandalizi Ya Mwisho kuelekea Nchini Marekani kufanya Video ya wimbo wao wa Summer time riddim ambao ulifanywa Na Producer Mdogo Mesen selekta wa De Fatality Studios..
Viva Arts Iliongea Na Chibwa Na Kupata uhakiaka wa Habari hio na Kwamba Video Itafanywa Marekani..Na Kuwaomba mashabiki wake kuwa waendelee ku request na Kupakua kila siku nyimbo katika Mtandao ..
Kwa Wale ambao hawa kuipata Audio ya ngoma hio
unaweza ipakua hapa
ENJOY
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment