Hii Ni zawadi maalumu Ya Stamina Kwa Mashabiki wake ikiwa Leo Tarehe 14 mwezi wa Kumi na moja Ni siku yake Ya kuzaliwa Na Huu Ndio Ujumbe wake
" Mwezi ujao nitaachia ngoma yangu mpya niliyofanya na FID Q inayoitwa
ushauri nasaha,bt leo kwavile ni siku yangu ya kuzaliwa nimeaamua kuwapa
zawadi mashabiki wangu kwa kutoa version namba 2 ya mwanza mwanza
ambayo inaitwa moro moro special kwa ajili ya birthday yangu.Amen"
DOWNLOAD HAPA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment