BREAKING NEWS

Download

Monday, December 31, 2012

New Music : Baby Elice- Mlegezo Ft Muki Makomando (Prod.C9 kIRI Records)

New Track Kutoka T.M Power anajulikana kama Baby Alice ..Akiwa Collab na Muki wa Makomando ..Mpango umesimamiwa na c9. kIRI rECords. Contact : +255652171025 Email : D120dw@gmail.com                                                  
                                               DOWNLOAD HAPA

Saturday, December 29, 2012

New Video - Knock Out ( Zola D ft P Funk )

Friday, December 28, 2012

New Music : Zaiid ft Damien-Mistari Yako





ARTIST : ZAIID FEATURED ARTIST : DAMIEN TRACK NAME : MISTARI YAKO TAMADUNI MUZIK Zaiid ft Damien-Mistari yako by VivaConscious

Wednesday, December 26, 2012

New Official Video : Spince Seseme -Ayaya (FT Ali Kiba )


Video ya wimb0 mpya wa Spince Seseme Kutoka Ilala Zoneakimshirikisha Ali Kiba ...Angalia Hapa

Coming Soon Kutoka kwa Chibwa wa Tanchy


Hii ni Art work Official ya Wimbo Mpya kutoka kwa Chibwa Wa Tanchy...Baada ya Aghiba Dance Ambayo ilipikwa katika Jiko la DE FATALITY Chini ya Producer  Mesen Selekta. Raundi hii ya Pili WIMBO Unaitwa NISHAI Akimshirikisha Msanii Juru Mbulula..
Kuwa karibu na Hizi Anuani ambazo Wimbo huu utapatikana .Mwanzoni wa mwaka 2013 ..

                               Chibwa Ukurasa wa My Space
                                Chibwa Ukurasa wa Facebook
                     Chibwa Ukurasa wa Reverbnation
                      Chibwa ukurasa wa Twitter                                  
                        Jiunge Na Ukurasa wake wa Mashabiki Facebook

Tuesday, December 25, 2012

New Music : Spince Seseme ft Ali Kiba -Ayaya (Mazuu Records)

 Baada ya Wakali Hawa Kukutana kwenye Sinderela ya Alikiba ..Muda umerudi tena na wakali hawa wamekutana tena kwenye AYAYA ,Ngoma yake Spince seseme ..Hupaswi kuikosa..mkono umedundwa MAZUU rECORDS                                             DOWNLOAD HAPA

Monday, December 24, 2012

New Music : Big Dibo - Nitashinda (Featured OCHU ...Produced by Jimmy Jizze .Roccana Basement)

BIG DIBO Msanii Kutoka Area Code 255 Tanzania ..Moja kati ya Ma Mc Wakali anegusa hisia za weng kimaisha hafanani na shida sana ila mwalimu wa kuhaso..Raundi Hii Mkono Takatifu wa Jimmy Jizze..Rocanna Basement. Na Kolabo shavu kwa OCHU Moja kati ya Waimbaji wazuri sana. Artist : BIG DIBO Featured Artist : OCHU Track Name : NITASHINDA Producer : JIMMY JIZZE Studios : ROCCANA BASEMENT                                            DOWNLOAD HAPA

Thursday, December 20, 2012

New Music _ Sky Woya- You Never Know ( FT Ema Star ,Produced by Deno)


Artist : Sky Woya
Featured Artist : Ema Star
Track Name : You Never Know
Studios: Hood Makers
Producer : Deno Manevia

               DOWNLOAD HAPA

31/12/2012 HUNTERS BEACH..FUNGA MWAKA NA WASANII KIBAO

Mkesha wa Mwaka Mpya ..Funga Mwaka Beach Party AMBAYO Haijawahi kutokea ...Venue ni HUNTERS  BEACH KIGAMBONI...Iikongozwa kwa Stage na Stamina , Roma ,Suma Lee ,Barnaba , Chibwa , Momba , Makomando ,Juma Nature Msitu wa Vina  ,  , Dulayo , Robby ,Viva Conscious , sambamba na YAKUZA MOB ,Na Kutoka Zanzibar Alonem ,na FUN KISS , JUMATATU TAREHE 31/12/2012  ....Kiingilio TSH 7000.....Kuanzia saa 8 mchana mpaka majogoooo...USIKOSEEEEEEE

Wednesday, December 19, 2012

New Music : Fido Dido Mwaga Radhi (Prod.Manecke)


Mpya ya Member wa Kundi la Mexicana La Cavela anaejulikana kama FIDO DIDO Au Master wa Kunesa Nesa..Baada ya Kunesa nesa sana Mjini akiwa na Tunda Man Raundii Hii Anaumiza na Mkono mpya uliopikwa na Manecke Studios za A.M Records.
Pakua Hapa HUU MZGO

                                      DOWNLOAD HAPA
Meet Him At Facebook Page FIDO DIDO

Monday, December 17, 2012

23th december..Funga Mwaka na WEUSI Concert

 
FUNGA MWAKA NA WEUSI!Tarehe 23 ya mwezi huu ndo ile siku ya Usiku wa funga mwaka la weusi utakuwa na uzinduz wa BUM KUBAM DVD mfumo mpya wa usambazaji wa kaz za wasaanii pamoja na uzinduz wa nymbo mpya ya LORD EYEZ ikiambatana na show ya milele!Pand flan ivi za MAISHA CLUB kwa kiingilio cha 10000 tu.
Hapa Lord Eyez
Hapo Gnako 
KatiKati Bonta 
Pembeni Joh Makini
na Kule Nikki wa Pili 
SIO YA KUKOSA

Saturday, December 15, 2012

Anto’Neyo Does Remix to Pusha T ‘s “BLOCKA!”


 New shit From Antoneyo The Artist..From wanene Entertainment ..Did a Remix of the Push T'S Track named BLOCKA


            DOWNLOAD HERE DIRECTLY

Friday, December 14, 2012

NIKKI WA PILI WA KWANZA KWENYE MFUMO WA KUUZA KAZI ZA WASANII KWA KUTUMIA CODE....

WIMBO WA NIKKI WA PILI BUM KUBAM UTAKUWA WIMBO WA KWANZA KUANZA KUSAMBAZWA KWA MFUMO RAFIKI NA ITAANZA KUTUMIKA RASMI TAREHE 21,12,2012 AMBAPO ITAKUWA PIA NI SIKU YA UZINDUZI WA DOCUMENTARI YA KWANZA YA HIP HOP YA WIMBO WA BUM KUBUM. HIZI HAPA FAIDA ZA MFUMO RAFIKI: 1.MSANII ANAUNGANISHWA MOJA KWA MOJA NA MFUMO NA KUJUA IDADI YA NAKALA ZOTE ALIZOUZA, 2.MFUMO RAFIKI UNAZUIA WAUZAJI FEKI WA KAZI ZA WASANII, 3.MSANII ATAMFAHAMU KILA MTU ALIYANUNUA KAZI YAKE NA KUWASILIANA NAYE MOJA KWA MOJA, 4.WEZI WOTE WA KAZI ZA MSANII WATAJULIKANA HADHARANI KUPITIA MFUMO RAFIKI, 5.KAZI ZA MSANII ZITAPATIKANA KWA URAISI NA KWA WAKATI, 6.MFUMO RAFIKI UTASAIDIA PIA KUPUNGUZA WANYONYAJI WA MUZIKI( PIRACY}
NIKKI WA PILLI NA MFUMO RAFIKI WA KUUZA KAZI ZA MUZIKI

New Music obn Block : K Master & Spince Madini - Ringa Nengua (Feat Viva Conscious ).Prod by Ilu (Swahili Swaggz)

Ngoma imefanyika Swahili Swaggz Records chini ya producer pekee wa kike nchini, Illuminatha. Verse ya kwanza na ya pili amesmama mtu mzima K-Master, kwenye hook mtu mzima Spince Madini wote kutoka Ilala ZOne Madonta Family na Viva Conscious ambae ametokea Ubungo akamalizia verse ya mwisho. Actually ni bonge moja la track, unabisha? Download below.

                                            DOWNLOAD HAPA

Wednesday, December 12, 2012

Sababu ya Ezden ...Kutoskika Kiss Fm kupitia Kiss Kollabo mix show



Watu wengi wamekuwa hawamskii mtangazaji mahiri wa kipindi cha Kiss Kollabo mix show Ezden The rocker Moja kati ya watangazaji Maarufu sana hapa Tanzania kutokana na uchapaji kazi wake. Viva Conscious Arts Presenting kupitia C.E.O Joseph Viva  Alipiga stori na ezden kuhusu hili Kuptia simu yake ambayo inaanza na +255
VIVA : Kaka Niaje
EZDEN :Poa Viva Wats good?
VIVA: Poa sana ,ebana nina maswali kadhaa toka kitaa , Tangu October 2012 Hatujaweza kukuskia tena kupiti Kipindi chako cha KISS COLLABO MIXSHOW pale Kiss fm wats wrong BRO
EZDEN : Dah , Kweli , Tangu October nimekua Nje ya Kiss fm kwa maana ya ,Nimeacha kazi pale.
VIVA : Sababu kubwa ya Kuondoka kiss fm ilikua ni nini hasa?
EZDEN : It sucks to say, but ishu kubwa ni Financial Issues ..Jamaa walikua wanachelewesha sana mkwanja MIEZI 3 BILA SALARY...!!! Mbaya mzee…na hiyo ni source kubwa ya Presenter wengi wazuri kusepa Kiss fm.
VIVA : So Kwa Upande wako Malipo yako hayakufanyika kwa muda gani?
EZDEN : Ilikua ni Muda, hata sijui huu mwaka unaoisha nimefanya nini cha maana zaidi ya kujulikana, na hata nimetoka still wanazungusha mkwanja wangu tangu October mpaka leo 12-12-12. Sio ishu nzuri kwa kampuni kubwa kama SAHARA.
VIVA : OK.Kwa hio mpaka sasa upo chini ya Radio au media yoyote ile?
EZDEN : Soon nitakua na radio fulani ya hapa Dar, U'll be informed though I'm still pushin' my movements with a Kenyan internet radio Votu Radio ( www.voturadio.com ) and still more to come this 2013.
VIVA : Shukrani sana Bro na Mungu akuongoze katika kuendeleza Harakati za Muziki ..na haswa muziki wa HIP HOP.
EZDEN : Peace Viva Pamoja sana

Meet Him on his facebook page www.faceebook.com/ezden

Reggae Movement Exhibition


Tanzania Rastafari Movement
Jumamosi Hii inakuletea Reggae Movement Exhibition
Sound system kutoka Jamaica hadi Europe
Wasanii watakao perform ..20 Percent , Jhiko Man , Mzungu kichaa , Ras Mizizi , Ras Kabonga , Ras Bumijah , Kush Shaka
Mahala ni Zhonghua Garden Kuanzia saa 4 Usiku mpaka asubuhi…Kiingilio Buku 5 tu
Piga namba hizi kwa more info .0713174556/0718744411



Tuesday, December 11, 2012

Stamina Aendelea Kufanya Vizuri Katika Mtandao wa Reverbnation

Mc kutoka Moro Moro Morogoro Alimaarufu kama Stamina Supermario ama Kabwela mwenye Kitambi. Ndie msanii anaefanya vizuri katika Mtandao wa Reverbantion ambao unawajumuisha wasanii wengi duniani takribani milion 10 ..
Mc Huyu Ndiye Msanii wa Tanzania mwenye Templates Hits Nyingi .na Hiyo ni dalili nzuri kutokana na Opportuinity kutoka SHows za NJE Ya Nchi ambazo huandaliwa na Reverbnation crews
 Tembelea Hapa upate kuona
                             www.reverbnation.com/staminasupermario

Roccana Basement New Music : Hero ft Benn Byt - Sababu (Prod.Jimmy Jizze )

Wimbo Mpya wa Msanii Chipukizi Kutoka Dar-es-salaam anaitwa HERO ambae Anaibukia katika Familia ya Muziki yani Roccana Basement iliyopo chini ya Castro Anderson..
Wimbo huu unaitwa SABABU ambao amemshirikisha BENN BRYT.na mkono ukifanywa na JIMMY JIZZE ..Beat hadi Mixing..
Unaweza Ukadownload Hapa


                                           DOWNLOAD HAPA

Anto’Neyo Teams Up With Arusha’s Upcoming Producer Daz! [ BANGER! ]



 Brand New Coming Track of The ARTIST From Wanene Entertainment who is American ..Here is the Track Produced By Tanzanian Producer who is Upcoming with alot of Hit in Tanzania Named DAZ NALEDGE. check it out the Track below
  Anto'Neyo [ The Artist ] - G.A.M. [ LIMITED TIME PREVIEW! ] by Anto'Neyo (The Artist.)

Wanene Entertainment Underground Hip-Hop Mixtape.Kutoka Hivi Karibuni



Wanene Entertainment ambayo ni moja kati ya Record label inayofanya vyema kwenye game la mziki huu wa kizazi kipya hasa kwa kuwakutanisha wasanii mbali mbali kutoka nje na ndani ya Tanzania na Afrika yenye makao yake makuu jijini Arusha, karibuni inampango wa kuachia kanda Mseto  mapema mwakani! Akiongelea hilo Darsh Pandit C.E.O wa Wanene Ent amesema kwamba wanatarajia kuachia kanda mseto hiyo mwezi wa kwanza mwakani (2013) na kwamba  itakuwa na ladha tofauti ambayo haijapata tokea na kwamba anawaamini wasanii wake kwa uwezo walionao na vitu wanavyoweza kufanya muda na wakati wowote ule.... Akiongelea juu ya nani na nani watakuwepo kwenye kanda mseto hiyo Darsh alimtaja mtu mzima Anto'Neyo ama waweza muita The Artist, pia kutoka Arusha Tanzania Gentriez Mwakitabu naye atakuwepo kwenye toleo hilo bila kumsahau Louis Hammock
                                            LOUIS HAMMOCK-BRITISH
                                               GENTRIEZ MWAKITABU-TANZANIAN
                                                     ANTONEYO-AMERICAN

Kuwa Karibu Nao kupitia 
                                             Wanene Page 
                                     Antoneyo The Artist Facebook
                                  Wanene C.E.O Darsh PANDIT Facebook
                                GENTRIEZ Facebook
                                           Louis Hammock Facebook 
                                      OFFICIAL WEBSITE

Saturday, December 8, 2012

New Music : Nash Emcee -Tabia (Prod. Daz Naledge)

Huu Ni wimbo Mpya wa Nash Mc Kutoka Tamaduni Muzik ambao umetengenezwa na Mtayarishaji kutoka Arusha anaitwa Daz Naledge..Wimbo unaitwa TABIA 
     Mchenguaji/Artist : Nash Emcee
      Jina la Wimbo :   Tabia 
      Producer/Mtayarishaji : Daz Naledge
      Cover Designed by : Viva Conscious Arts
            www.facebook.com/maalim.nash


Thursday, December 6, 2012

LOUIS HAMMOCK. FREESTYLE 2012




louis gets baked and drops some bars over a mobb deep beat.
fuck a watermark.
http://lifegrandeur.tumblr.com/louis_hammock

Coming New Music -Dj Choka ft Mabeste, M-Rap, Deddy and Gosby-Press Play(Prd.Pancho)

Hii ni ngoma mpya ya dj choka mpya inayokuja ilikusanya vichwa kutok bhits  namaanisha Mabeste, Deddy, Mrap na GOSBY..Mkono unaitwa Press Play Umeguswa na Pancho Latino....Tusubiri

Back in black - teamSUA @jambo festival 2012


Back in Black
Underground Mc from SUA performing his song
which talks about being Naturally and respect the black colour
we have.Born Black,Live Black,die black and stay black coz our God is Black

Saturday, December 1, 2012

New Music : Charlz 'B'- Shendelle


                                               DOWNLOAD HAPA
 Song Details:- Artist : Charlz B
 Song : Shendelle 
 Producer : GQ 
Studio : Digital Vibes
 Special Thanks to : SAB Multimedia / Digital Vibes : 
You All For Publishing The Track, Reading The Track Name, Listening To It, Downloading It And Distributing it to others.

New Music : Gnako ft BenPol-Mama Yeyoo



 Hii Ni Ngoma Mpya Kutoka Weusi Kampuni Raundi hii Ni GNAKO  , Gwara Wara the Kankara, Akimshirikisha Ben Pol Mzgo umefanywa na Mona Gangstar na wimbo unaitwa MAMA YEYOO Pakua hapa

                                               DOWNLOAD

Tuesday, November 27, 2012

Special Dedication to Sharo Milionea :O-KEY FT JOJO-Missin YOU

Huu ni Wimbo wa Kwanza Kutufikia Unaotoa Pole Kuhusiana na Kifo cha Mwigizaji na Mwanamuziki Wa Kizazi Kipya ..Sharo Milionea umefanywa na o-key KUTOKA mEXICANA LA CAVELA dE fATALITY sTUDIOS..REST IN PEACE BRO
                                             DOWNLOAD HAPA VIA MOBILE

Monday, November 26, 2012

New Music :Ezden ft Bgway , Picasso- LISTEN (Prod.Jimmy Jizze Rocanna Basement)

                                               DOWNLOAD HAPA VIA MOBILE

EXCLUSIVE : Azma Mponda ..Love Story Review 1


Hii Ni Moja kati ya Mixtape ya Azma Mponda inayoitwa Love Story ambayo itazinduliwa Jumamosi Hii ya Tarehe 1 Pale New Msasani Club chini ya Tamaduni Muzik ..si ya Kukosa .Angalia Review yake Kupitia Humu

Saturday, November 24, 2012

Fidstyle Friday week 32 with RACERS

Thursday, November 22, 2012

New Music : Mtanashati Presents :Amazon - Mamito

Mtanashati Entertainment inayoongozwa na Ostazi Juma inakuletea Ngoma Mpya Ya Msanii kutoka katika kampuni hiyo AMAZON Inayoitwa MAMITO Imetengenezwa Chini ya Studio za Kiri Record Na Producer C9.

Tuesday, November 20, 2012

New Music :Young British -So Amaizing Prod.Deno Manevia

                    Ngoma Mpya Kutoka Studio Mpya ya Deno Touches Manevia pande za External Dar-es-salaaam ...Raundi ya Kwanza Anamdondosha Rapper Young British Ngoma inaitwa so amaizing Pakua hapa                            
                                               DOWNLOAD HAPA

Pah One- I Wanna Get Paid ft.Shrekeezy (Prod. Nahreel)

n this life we live in,money is always a key motivator and priority. At the end of every activity any individual engages in,we always tend to gain sum`n from it.Thats why we summed it all in a record,I Wanna Get Paid. The Track is produced by Nahreel. Drop us feedback and connect to Pah One via Facebook on www.facebook.com/PahOne
Or Via Twitter on www.twitter.com/PahOneMusic
@PahOneMusic) Join the team on twitter @Nahreal @OlaPahOne @IgweePahOne Check Shrekeezy on facebook viawww.facebook.com/shrekeezy On twitter via @shrekeezy 

Sunday, November 18, 2012

Freestyle:Mapande 20 barz na Songa.

Freestyle : Mapande 20 barz na Nikki Mbishi

Wednesday, November 14, 2012

FreeStyles : Mapande 20 Ya Kad Go(Tamaduni Music )

New Music .: Stamina -Moro Moro (Mwanza Mwanza Remix.Zawadi Ya Birthday)

                   Hii Ni zawadi maalumu Ya Stamina Kwa Mashabiki wake ikiwa Leo Tarehe 14 mwezi wa Kumi na moja Ni siku yake Ya kuzaliwa Na Huu Ndio Ujumbe wake
      " Mwezi ujao nitaachia ngoma yangu mpya niliyofanya na FID Q inayoitwa ushauri nasaha,bt leo kwavile ni siku yangu ya kuzaliwa nimeaamua kuwapa zawadi mashabiki wangu kwa kutoa version namba 2 ya mwanza mwanza ambayo inaitwa moro moro special kwa ajili ya birthday yangu.Amen"           

                                    DOWNLOAD HAPA

Tuesday, November 13, 2012

New Music : Country Boy Ft Nyemo-Juu Ya Udongo (Produced By MesenSelekta)

Ngoma mPYA baada ya Kimya Kirefu cha Country Boy sasa Arudi Katika  Studio Label ya De Fatality na Kudondoshsa Ngoma Mpya aliomshirikisha NYEMO..Mkono ukitengenezwa na Mesen Selekta na unaitwa JUU YA UDONGO
                          DOWNLOAD HAPA

Today Launch Of 5th Album Of The Game " Jesus Pierce"


Today 12-11-2012 The Game Will Launch His New  album Known as JESUS PIERCE ..Including Track like CELEBRATION .Hope Later I'LL GIVE THE LINK To download it

Monday, November 12, 2012

Silently Fallin' Uppanotch (Directed by Zavara)


Official music video for track Silently Fallin' from Uppanotch, from the album tittled 11.
Track produced by Shakim Allah. Video Directed, shot and edited by Zavara Mponjika...

Silently Fallin' is an ode to the failing business of selling music. Danon and Hosannah connect over production by Shakim Allah to proclaim that music will always exist as long as our hearts are in it! Zavara added the visual perspective to this project, the video speaks it all...Get the album "11" by Uppanotch, available now!!!...biggup the Hive (the location) in the Brooklyn, big shout out to Allison Keeley, Daniel J Gerstle and the somali sunrise project.

Best Top Ten : Tanzania Hip Hop Producers ..


                                                                       
                                                              1 . P.funk Majani 
                                 BONGO RECORD
                                                         
                            www.facebook.com/pfunk.majani  
                                              
                                                                         2. Daz Naledge
                                                                WATENGWA RECORD
                                                  
                          www.facebook.com/dazknowledge
                                          
3.Marco Chali 
(MJ RECORD)

\

                                          www.facebook.com/marcochali

                                                                    4 .DUKE
                                         (M-Lab Studios)
                            www.facebook.com/dgervalius
                                
                                   5.MESEN SELEKTA
                                                      (DE FATALITY STUDIOS)

                                         www.facebook.com/mesen.selector


6.JIMMY JIZZ0E
(ROCANNA BASEMENT)
                                               
                                   www.facebook.com/jimmy.jizze   
                                                                          7.DX
                                                            (NOIZ MEKAH PRODUCTION)

                                               www.facebook.com/def.xtro
                                                            
                                                          8 Q THE DON
                                       (MO RECORD)
                                              www.facebook.com/qthe.don.7   
                                                 
                                                       9.DARSH PANDIT
                                (WANENE ETERTAINMENT)

                                               www.facebook.com/darsh.pandit
                                                                             
                                            10.PANCHO
                                       ( B Hits STUDIOS)
                            www.facebook.com/pancho.saymon 

Sunday, November 11, 2012

G-NAKO Akizungumzia BUM KUBAM DVD......!


G nako ambaye naye yupo katika BUM KUBAM DVD itakayozinduliwa hivi karibuni akizungumza juu ya movement hiyo inayokwenda kubadilisha sanaa ya Tanzania.

New Official Video : Gentriez- Mwanzo Mwisho (Nisher Entertainment)


A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, (Mwanzo Mwisho -Gentriez Official Music Video) SHOT IN ARUSHA TANZANIA (fnouk Studio Warehouse)....

IF your interested IN full-hd Music VIDEOS / Films, CALL NISHER ENTERTAINMENT NOW ....+255 785 95 95 99

for more music videos check these links
www.nisherbaby.blogspot.com
www.facebook.com/nisherbaby
www.reverbnation.com/nisher
www.twitter.com/nisher_
www.youtube.com/nisherrr
ENJOY

Friday, November 9, 2012

MONDAY ! New Anto’Neyo & C’Pwaa ! !

This upcoming Monday, Anto’Neyo releases his first BONGO FLAVOR single out in Africa feat C’Pwaa!!!called Mambo Produced By Mona Gangstar..Also The Coming of CPwaa ft The A rtist,Lord Eyez,One, Mabeste and Godzila... Stay Intouch WIth The WEB www.vivaconscious.tk
Also Be Intouch with Following Artist Contacts www.antoneyo.com
  www.facebook.com/ITHEARTIST
www.waneneentertainment.com
www.facebook.com/cpwaa.thesupreme
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes