Thursday, December 20, 2012
31/12/2012 HUNTERS BEACH..FUNGA MWAKA NA WASANII KIBAO
Posted by Viva Conscious on 9:53 AM in | Comments : 0
Mkesha wa Mwaka Mpya ..Funga Mwaka Beach Party AMBAYO Haijawahi kutokea ...Venue ni HUNTERS BEACH KIGAMBONI...Iikongozwa kwa Stage na Stamina , Roma ,Suma Lee ,Barnaba , Chibwa , Momba , Makomando ,Juma Nature Msitu wa Vina , , Dulayo , Robby ,Viva Conscious , sambamba na YAKUZA MOB ,Na Kutoka Zanzibar Alonem ,na FUN KISS , JUMATATU TAREHE 31/12/2012 ....Kiingilio TSH 7000.....Kuanzia saa 8 mchana mpaka majogoooo...USIKOSEEEEEEE
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment