FUNGA
MWAKA NA WEUSI!Tarehe 23 ya mwezi huu ndo ile siku ya Usiku wa funga
mwaka la weusi utakuwa na uzinduz wa BUM KUBAM DVD mfumo mpya wa
usambazaji wa kaz za wasaanii pamoja na uzinduz wa nymbo mpya ya LORD
EYEZ ikiambatana na show ya milele!Pand flan ivi za MAISHA CLUB kwa
kiingilio cha 10000 tu.
Hapa Lord Eyez
Hapo Gnako
KatiKati Bonta
Pembeni Joh Makini
na Kule Nikki wa Pili
SIO YA KUKOSA
Post a Comment