Wednesday, December 26, 2012
Coming Soon Kutoka kwa Chibwa wa Tanchy
Posted by Viva Conscious on 3:42 AM in | Comments : 0
Hii ni Art work Official ya Wimbo Mpya kutoka kwa Chibwa Wa Tanchy...Baada ya Aghiba Dance Ambayo ilipikwa katika Jiko la DE FATALITY Chini ya Producer Mesen Selekta. Raundi hii ya Pili WIMBO Unaitwa NISHAI Akimshirikisha Msanii Juru Mbulula..
Kuwa karibu na Hizi Anuani ambazo Wimbo huu utapatikana .Mwanzoni wa mwaka 2013 ..
Chibwa Ukurasa wa My Space
Chibwa Ukurasa wa Facebook
Chibwa Ukurasa wa Reverbnation
Chibwa ukurasa wa Twitter
Jiunge Na Ukurasa wake wa Mashabiki Facebook
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment