Tuesday, December 11, 2012
Wanene Entertainment Underground Hip-Hop Mixtape.Kutoka Hivi Karibuni
Posted by Viva Conscious on 3:39 PM in | Comments : 0
Wanene Entertainment ambayo ni moja kati ya Record label inayofanya vyema kwenye game la mziki huu wa kizazi kipya hasa kwa kuwakutanisha wasanii mbali mbali kutoka nje na ndani ya Tanzania na Afrika yenye makao yake makuu jijini Arusha, karibuni inampango wa kuachia kanda Mseto mapema mwakani! Akiongelea hilo Darsh Pandit C.E.O wa Wanene Ent amesema kwamba wanatarajia kuachia kanda mseto hiyo mwezi wa kwanza mwakani (2013) na kwamba itakuwa na ladha tofauti ambayo haijapata tokea na kwamba anawaamini wasanii wake kwa uwezo walionao na vitu wanavyoweza kufanya muda na wakati wowote ule.... Akiongelea juu ya nani na nani watakuwepo kwenye kanda mseto hiyo Darsh alimtaja mtu mzima Anto'Neyo ama waweza muita The Artist, pia kutoka Arusha Tanzania Gentriez Mwakitabu naye atakuwepo kwenye toleo hilo bila kumsahau Louis Hammock
LOUIS HAMMOCK-BRITISH
GENTRIEZ MWAKITABU-TANZANIAN
ANTONEYO-AMERICAN
Kuwa Karibu Nao kupitia
Wanene Page
Antoneyo The Artist Facebook
Wanene C.E.O Darsh PANDIT Facebook
GENTRIEZ Facebook
Louis Hammock Facebook
OFFICIAL WEBSITE
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment