Ngoma imefanyika Swahili Swaggz Records chini ya producer pekee wa kike nchini, Illuminatha.
Verse ya kwanza na ya pili amesmama mtu mzima K-Master, kwenye hook mtu
mzima Spince Madini wote kutoka Ilala ZOne Madonta Family na Viva Conscious ambae ametokea Ubungo akamalizia verse ya mwisho.
Actually ni bonge moja la track, unabisha? Download below.
DOWNLOAD HAPA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment