WIMBO
WA NIKKI WA PILI BUM KUBAM UTAKUWA WIMBO WA KWANZA KUANZA KUSAMBAZWA
KWA MFUMO RAFIKI NA ITAANZA KUTUMIKA RASMI TAREHE 21,12,2012 AMBAPO
ITAKUWA PIA NI SIKU YA UZINDUZI WA DOCUMENTARI YA KWANZA YA HIP HOP YA
WIMBO WA BUM KUBUM. HIZI HAPA FAIDA ZA MFUMO RAFIKI: 1.MSANII
ANAUNGANISHWA MOJA KWA MOJA NA MFUMO NA KUJUA IDADI YA NAKALA ZOTE
ALIZOUZA, 2.MFUMO RAFIKI UNAZUIA WAUZAJI FEKI WA KAZI ZA WASANII,
3.MSANII ATAMFAHAMU KILA MTU ALIYANUNUA KAZI YAKE NA KUWASILIANA NAYE
MOJA KWA MOJA, 4.WEZI WOTE WA KAZI ZA MSANII WATAJULIKANA HADHARANI
KUPITIA MFUMO RAFIKI, 5.KAZI ZA MSANII ZITAPATIKANA KWA URAISI NA KWA
WAKATI, 6.MFUMO RAFIKI UTASAIDIA PIA KUPUNGUZA WANYONYAJI WA MUZIKI(
PIRACY}
NIKKI WA PILLI NA MFUMO RAFIKI WA KUUZA KAZI ZA MUZIKI
—
Post a Comment