PRODUCT MPYA ZA DJ DRILL THE PITCH KILLER
Posted by
Viva Conscious
on
8:35 AM
in
|
Dj maarufu ukanda wa kaskazinii dj drill pitchkiller
amezindua rasmi product yake mpya ya tshirt zake ambazo ataanza kusambaza hivi
karibun kwenye maduka ya nguo maarufu tanzania kwa garama nafuu kwa anayeitaji
awasiliane kwa number ya simu ya 0757 560000 upate yako kwa njiia ya m pesa pia
tuma pesa uletewe ulipo.
Huu ni mwonekano wake kwa nyuma
sisi kama teamVIVA tunampongeza DJ DRILL kwa kubuni kitu chake kama hiki, na kumtakia mema katika soko la bidhaa zake hizi.....
source na nuruely........
Post a Comment