PABLO AMEFUNGUKA NA UKURASA HUU JUU YA YEYE KUAMUA KUJITOA APEX VIDEO NA KUANZISHA KAMPUNI YAKE MWENYEWE..
PABLO AMBAYE NI MKALI WA VICHUPA VINGI HAPA BONGO AMBAYE ANASUMBUA SANA KWA EDIT ZAKE ZA KISASA NA ZA KUELEWEKA AMESEMA NIA NA MADHUMUNI NI KUJIAJIRI YEYE PEKE YAKE NA KUFANYA KAZI ZAKE CHINI YA KAMPUNI YAKE MPYA AMBAYO AMEIPA JINA LA '' COCONUT VIDEO''
PABLO MWENYE MASKANI YAKE PANDE ZA TABATA BIMA ALISEMA HAYO WAKATI AKIWA LOCATION AMBAPO ALIKUA AKISHOOT VIDEO YA COMING ARTIST DAMI MASTER MWENYE NGOMA YAKE PATA RAHA AMBAYO NDO ITAKIA KAZI YA KWANZA KATIKA KAMPUNI HIYO....
Post a Comment