Idadi ya wasaniiwa bongo fleva wanao vuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka. na safari hii aliyeamua kuoa ni hit maker wa ''kwa ajiliyako'' Hussein Rashid Maaruf kama hussein machozi Ambaye (Agust 28) Amefunga pingu za maisha na shu yunus omar raia wa kenya.
Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili hussein machozi na mkewe shu yunus. Wamebadilisha status zao kutoka 'In relationship' na kua 'married' huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa star huyo kutoka manyoni singida
Hizi ni Baadhi ya picha za SHU YUNUS
Post a Comment