BREAKING NEWS

Download

Sunday, November 17, 2013

Rapper Chipukizi Toka Tanzania Akiri Kuchanganywa na Uzuri Wa Huddah The Boss


Rapper Chipukizi Viva Conscious Toka Tanzania Anaetokea Familia ya Rap Diocese inaloundwa na Ma rapper toka Luga Flow Uganda na Ma Rapper wa Ghana kama M.anifest na Opanka hivi karibuni aliweka wazi kuchanganywa na Uzuri wa Mwana dada Boss wa Kenya HUDDAH Monroe aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother The Chase 8 akiiwakilisha Kenya. Pia Aliwahi kuwa Mchumba wa Rapper Prezzo Toka Kenya
Katika Ukurasa wa Facebook wa  Rapper huyo wa Tanzania aliandika Post ikiwa na Jina la Huddah na ikiwa na Smileys za Love. Swali ni Je Kuna Kitu kati ya Wawili hawa?

Source.Nuruely Media Spyres

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes