BREAKING NEWS

Download

Friday, December 14, 2012

NIKKI WA PILI WA KWANZA KWENYE MFUMO WA KUUZA KAZI ZA WASANII KWA KUTUMIA CODE....

WIMBO WA NIKKI WA PILI BUM KUBAM UTAKUWA WIMBO WA KWANZA KUANZA KUSAMBAZWA KWA MFUMO RAFIKI NA ITAANZA KUTUMIKA RASMI TAREHE 21,12,2012 AMBAPO ITAKUWA PIA NI SIKU YA UZINDUZI WA DOCUMENTARI YA KWANZA YA HIP HOP YA WIMBO WA BUM KUBUM. HIZI HAPA FAIDA ZA MFUMO RAFIKI: 1.MSANII ANAUNGANISHWA MOJA KWA MOJA NA MFUMO NA KUJUA IDADI YA NAKALA ZOTE ALIZOUZA, 2.MFUMO RAFIKI UNAZUIA WAUZAJI FEKI WA KAZI ZA WASANII, 3.MSANII ATAMFAHAMU KILA MTU ALIYANUNUA KAZI YAKE NA KUWASILIANA NAYE MOJA KWA MOJA, 4.WEZI WOTE WA KAZI ZA MSANII WATAJULIKANA HADHARANI KUPITIA MFUMO RAFIKI, 5.KAZI ZA MSANII ZITAPATIKANA KWA URAISI NA KWA WAKATI, 6.MFUMO RAFIKI UTASAIDIA PIA KUPUNGUZA WANYONYAJI WA MUZIKI( PIRACY}
NIKKI WA PILLI NA MFUMO RAFIKI WA KUUZA KAZI ZA MUZIKI

New Music obn Block : K Master & Spince Madini - Ringa Nengua (Feat Viva Conscious ).Prod by Ilu (Swahili Swaggz)

Ngoma imefanyika Swahili Swaggz Records chini ya producer pekee wa kike nchini, Illuminatha. Verse ya kwanza na ya pili amesmama mtu mzima K-Master, kwenye hook mtu mzima Spince Madini wote kutoka Ilala ZOne Madonta Family na Viva Conscious ambae ametokea Ubungo akamalizia verse ya mwisho. Actually ni bonge moja la track, unabisha? Download below.

                                            DOWNLOAD HAPA
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes