Friday, July 30, 2010
TEFLON DON YA RICK ROSS INATEGEMEWA KUIPOTEZA RECOVERY ALBUM YA EMINEM
Posted by Viva Conscious on 6:56 AM in | Comments : 0
lbum ya mtu mzima Rick Ross Teflon Don iliyotoka mwanzoni mwa wiki iliyopita inaripotiwa kuwa itaifunika kimauzo Recovery album ya mtu mzima Slim shady au unaweza kumwita Eminem kwa mujibu wa makadirio yaliyofanywa na Taasisi inayojihusisha na utafiti katika music industry, inaitwa HITS DAILY DOUBLE, estimation zenyewe zipo kama ifuatavyo:
ya kwanza ni Teflon Don ya Rick Ross ambayo wiki ya kwanza sokoni imeuza Copy 188,816., ya pili Recovery Album ya Eminem wiki ya kwanza imeuza Copy 187,968, anayefata ni Sheryl Crow's na album yake 100 Miles From Memphis ameuza copy 55,467, na wanne ni Drake na album ya Thank me Later na aliuza Copy 49,118
so hayo ni makadirio ya wiki ya kwanza so mimi na wewe hatujui, itakuaje huko mbele, tuskilizie kama mwezi kwa Teflon don kukaa sokoni then tutajua mpango mzima nani yupo kati ya Rick Ross na Eminem.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment