BREAKING NEWS

Download

Monday, November 25, 2013

Huyu ndie Director anaefanya Video Mpya Ya AY.na Fid Q nchi

 Mmoja kati ya ma Director wadogo wanaopiga kazi kali sana Africa mashariki .Mojawapo ya kazi alizofanya ni kazi za Camp Mulla Pamoja na I.T Toka Kenya .Pia alishawahi fanya kazi ya  AFROMANIAC Toka Tanzania 
Kwa Jina anaitwa KEVIN BOSCO JR
Meet Him in the following links 
Twitter @DirBoscoJnr
Facebook Page  :  @DirKevinBoscoJnr

Zifuatazo ni Picha Baadhi ya Utengenezaji wa Video ya A.Y Ft Fid Q

Happy Birthday DEE CEE

Leo Ni siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa Ma Rapper wa muda mrefu wa kundi la DISLIMINATION Toka Arusha .Here are some Link of their videos

Alichoandika Nash Mc Kuhusu Wasanii wanaobadilika."


NUKUU "msanii anaebadilika badilika kwa maana ya kukosa msimamo kwa sababu ya njaa au pesa,huyu hana tofauti na kiongozi anaeuza rasilimali za nchi kwa wageni na kuumiza mamilioni ya wananchi kwa kuahidiwa kupewa cha juu na wawekezaji! Nitakufa na itikadi zangu kali za hip hop!"

New Music Video : Bonta ft G Nako Watu Buu ( official Music Video)

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes