Sunday, November 17, 2013
Rapper Chipukizi Toka Tanzania Akiri Kuchanganywa na Uzuri Wa Huddah The Boss
Rapper Chipukizi Viva Conscious Toka Tanzania Anaetokea Familia ya Rap Diocese inaloundwa na Ma rapper toka Luga Flow Uganda na Ma Rapper wa Ghana kama M.anifest na Opanka hivi karibuni aliweka wazi kuchanganywa na Uzuri wa Mwana dada Boss wa Kenya HUDDAH Monroe aliyekuwa Mshiriki wa Big Brother The Chase 8 akiiwakilisha Kenya. Pia Aliwahi kuwa Mchumba wa Rapper Prezzo Toka Kenya
Katika Ukurasa wa Facebook wa Rapper huyo wa Tanzania aliandika Post ikiwa na Jina la Huddah na ikiwa na Smileys za Love. Swali ni Je Kuna Kitu kati ya Wawili hawa?
Source.Nuruely Media Spyres
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)