BREAKING NEWS

Download

Friday, January 25, 2013

Chaba -Nyota Njema Mixtape oUT 26/January 2013


sASA unaambiwa mida ya saa kumi jioni leo ile Mixtape ya CHABA THOMAS Baba la Flow .Itakua Out leo  kijenge ya juu Tsh.5000/= unajichukulia nakala yako ya
                                  NYOTA NJEMA YA MTAAA

Coming Soon On Tuesday : Country Boy ft T.I.D-My Time Produced By Mesen Selekta

Jumanne Hii ya Tarehe 29 mwezi wa Kwanza kutakua na Uzinduzi wa Single Mpya ya Country Boy Ama Anajiita Profitable Artist kutoka RADAR ENTERTAINMENT Ambayo ameifanya Chini ya De Fatality Music ambayo Imesimamiwa na MESEN SELEKTA.. Ndani yake kuna kichwa T.I.D Mnyama. C.E.O Wa TOP BAND LOCATION ni MaISHa CLub VIP Kiingilio ni TSH 5000..Don Miss hii kituuu
Pia Kutakua na Live Band Perfomance Kutoka kwa TOP BAND Ikiongozwa na Mnyama T.I.D

Coming Music : Gentriez Mwakitabu ft Nako2Nako-Uchawi Hautuingii Prod.Wanene Entertainment & Noiz Mekah (Darsh +Dx)

Gentriez Mwakitabu Rapper kutoka River Camp soldiers ambaye anafanya vizuri sana hapa Tanzania kwa sasa ,ambaye amashafanya Vibao vingi kama Arusha boy ,Mwanzo Mwisho , Na Bembeleza ..ambavyo vinafanya poa katika media za TZ ..
Raundi Hii Amekuwa Msanii Pekee wa kwanza kufanya Ngoma na Nako2Nako Yote namaanisha Baada ya N2N Kurudiana wote including Ibra da Hustler  Ngoma inaitwa UCHAWI HAUTUINGII ...Je Madini Gani yapo humo ndani ..Be Intouch na Web Hii Kupata mengi .Sikiliza kazi za Gentriez Hapa
Cheki Video yake ya Mwanzo Mwisho Hapa
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes