Jumanne Hii ya Tarehe 29 mwezi wa Kwanza kutakua na Uzinduzi wa Single Mpya ya
Country Boy Ama Anajiita Profitable Artist kutoka RADAR ENTERTAINMENT Ambayo ameifanya Chini ya De Fatality Music ambayo Imesimamiwa na MESEN SELEKTA..
Ndani yake kuna kichwa T.I.D Mnyama. C.E.O Wa TOP BAND
LOCATION ni MaISHa CLub VIP Kiingilio ni TSH 5000..Don Miss hii kituuu
Pia Kutakua na Live Band Perfomance Kutoka kwa TOP BAND Ikiongozwa na Mnyama T.I.D
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment