BREAKING NEWS

Download

Friday, September 6, 2013

Exclusive: yadaiwa kuwa Daz Baba Amechanganyikiwa Afande sele athibitisha

Habari kutoka chanzo cha uhakika zinadai kua msanii wa zamani kundi la Daz Nundaz na hit maker wa ''fugure namba 8'' hapa namzungumzia Daz Baba. Kutokana na hivi karibuni amekua akifanya vitu ambavyo havilingani na mtu mwenye akili timamu

Chanzo hicho kimesema Daz alionekana maeneo ya Morogoro akiwa katika hali iliyowatia
 mashaka ndugu, mashabiki wa muziki pamoja na wasanii wenzake.
Rafiki wa karibu na Daz Baba Anasema: jana akiwa mkoani Morogoro kuwa hali ya msanii huyo ni mbaya na ana dalili zote za mtu
aliyechanyikiwa na amekuwa mtu wakuzunguka barabarani huku akifanya matukio ya ajabu.
Hivi juzi juzi Daz alienda nyumbani kwa Afande usiku, akapiga kelele sana,
Afande akaamka na kumkuta Daz akiwa mchafu na akiongea maneno ambayo hayaelewiki,
baadaye alitaka  kumfanyia tendo baya kwa mfanyakazi wa kike wa Afande lakini hakufanikiwa,
ila watu wakajua kweli Daz hayuko sawa.
Baada ya taarifa hiyo  tulimtafuta Afande Sele, ndipo alipothibitisha kutokea kwa tukio hilo nakusema
ameshampatia  taarifa dada yake Daz wa Dar es salaam.
Kweli hali ya Daz ni mbaya sana nimejaribu kumuweka sawa lakini nimeshindwa labda wakamfanyie matambiko ya kwao
kwasababu baba na mama yake walifariki na walikuwa hawaelewani labda kuna matatizo ya kifamilia. alisema Afande.

Hussein Machozi afunga ndoa kimya kimya na Msichana Wa Kenya

Idadi ya wasaniiwa bongo fleva wanao vuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka. na safari hii aliyeamua kuoa ni hit maker wa ''kwa ajiliyako'' Hussein Rashid Maaruf kama hussein machozi  Ambaye (Agust 28) Amefunga pingu za maisha na shu yunus omar raia wa kenya.
Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili hussein machozi na mkewe shu yunus. Wamebadilisha status zao kutoka 'In relationship' na kua 'married'  huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa star huyo kutoka manyoni singida
 Hizi ni Baadhi ya picha za SHU YUNUS





Audio: ChidiBenz & Nonini-Get Down | DOWNLOAD

Audio: Recho - Umependeza | DOWNLOAD

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/09/IMG-20130904-WA0008.jpg

Kilio Cha Msanii Mwingine Wa Bongo Flava Kwa Diamond Platinumz Baada Ya Kuachiwa Kwa MyNumberOne

Nu Audio: Mr Blue - Pesa

11655529

Audio: Lange Ft Alutte - Maslay | DOWNLOAD

 

East african Metaphor Spin on 96.2 Prague




East Africa Metaphor, another collaboration between Uganda, Kenya and Tanzania. Burney mc aka Bana Mutibwa stood in for Uganda, Viva concious from Tanzania also the master mind behind the whole project and lastly Willy fololo from Kenya spicing the whole track up.
In This video Burney mc was playing the track on street cypher on spin radio 96.2 in Prague Czech Republic with Anna. from East Africa to the whole globe. Great connection, Big networking through Good Hip Hop Music.produced by Mesen Selekta

like Burney mc's facebook page www.facebook.com/banamusic

find Viva too -https://www.facebook.com/Josephviva

and Willy -https://www.facebook.com/willy.fololo...
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes