BREAKING NEWS

Download

Friday, September 6, 2013

Exclusive: yadaiwa kuwa Daz Baba Amechanganyikiwa Afande sele athibitisha

Habari kutoka chanzo cha uhakika zinadai kua msanii wa zamani kundi la Daz Nundaz na hit maker wa ''fugure namba 8'' hapa namzungumzia Daz Baba. Kutokana na hivi karibuni amekua akifanya vitu ambavyo havilingani na mtu mwenye akili timamu

Chanzo hicho kimesema Daz alionekana maeneo ya Morogoro akiwa katika hali iliyowatia
 mashaka ndugu, mashabiki wa muziki pamoja na wasanii wenzake.
Rafiki wa karibu na Daz Baba Anasema: jana akiwa mkoani Morogoro kuwa hali ya msanii huyo ni mbaya na ana dalili zote za mtu
aliyechanyikiwa na amekuwa mtu wakuzunguka barabarani huku akifanya matukio ya ajabu.
Hivi juzi juzi Daz alienda nyumbani kwa Afande usiku, akapiga kelele sana,
Afande akaamka na kumkuta Daz akiwa mchafu na akiongea maneno ambayo hayaelewiki,
baadaye alitaka  kumfanyia tendo baya kwa mfanyakazi wa kike wa Afande lakini hakufanikiwa,
ila watu wakajua kweli Daz hayuko sawa.
Baada ya taarifa hiyo  tulimtafuta Afande Sele, ndipo alipothibitisha kutokea kwa tukio hilo nakusema
ameshampatia  taarifa dada yake Daz wa Dar es salaam.
Kweli hali ya Daz ni mbaya sana nimejaribu kumuweka sawa lakini nimeshindwa labda wakamfanyie matambiko ya kwao
kwasababu baba na mama yake walifariki na walikuwa hawaelewani labda kuna matatizo ya kifamilia. alisema Afande.

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes