Saturday, September 15, 2012
Msanii Mpya Aliye signiwa na Wanene Entertainment
Posted by Viva Conscious on 8:41 AM in | Comments : 0
Wanene Entertainment Inayomilikiwa Na Darsh Pandit imeendelea na Hatua ya Ku sign Wasanii kutoka Kimataifa na Raundi hii Tumem sign Louis Hammock Raia wa Uingereza.Na Hatua ya Mwanzo Ameachia Mixtape yake inayoitwa Untitled..Binafsi ni bonge la Mixtape
Unaweza ukaipata kwa Hii Link Free downlod
http://www.mediafire.com/?i6izb3kviiqdlyk
Huyu Amekua Msanii wa Pili kutoka Nje Ya Africa ambapo mwanzoni Imem sign The Artist kutoka marekani na Kujumuisha Labeled Artist ikiwa na Gentriez kutoka Aruhsa , The Artist na Louis
Pia Mcheki Facebook www.facebook.com/LouisHammock
Pia mcheki Tumblr www.lifegrandeur.tumblr.com/louis_hammock
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment