Ngoma Inaitwa Summer Time Imefanywa Studios Za De Fatality Kwa Mesen SElekta
Hii Ni ngoma ya Pili ya Kundi Hilo Ambalo Awali walitoa Ngoma Iliyojulikana kama Take It down ambayo ilifanya Vizuri kupitia Vituo vya redio na Tv... Ujio Mpya Huu Hapa Jipatie Kwa Ku downLoad free Hii Nin Ngoma Ambayo Imefanywa Riddim Kutoka Katika Ngoma ya Sean Paul Inayoitwa She Doesn't Mind Download For Promo Only
Post a Comment