BREAKING NEWS

Download

Friday, April 12, 2013

New Music : Jcb ft Ben Pol & Chaba -I DON CARE

Ngoma Mpya YA JCB akiwa na Chaba pamoja na Ben Pol,Track hii inayoitwa "I dont Care",Mkono heavy wa hiphop toka kwa J Ryder & Noizmekah Studios Arusha) HERE and keep supporting Tanzanian Music.

New Music Video : Chin ft Ben Pol -Simanzi (Official Video)

New Music : Mule Mule Music Presents -Tash -Unajidai Nini (Prod.Rash Don/StreetSound)

Baada ya kufanya vizuri na track kama CHAPIA na BARIDA sasa Tash a.k.a Masai Touzi aja na track mpya ''UNAJIDAI NINI'' produced by RASH DON/STREET SOUND MUSIC.
Ikiwa wewe ni mtu muhimu na mdau katika tasnia hii ya mziki mzuri naomba support yako katika kuipush nyimbo hii ili tuendelee kukuza mziki wetu wa bongo flava.

Nashukuru kwa ushirikiano wako na MUNGU akubariki.

Asante
Track:Unajidai Nini
Artist:Tash
Prod:Rash Don/Street Sound Music


MULEMULEMUSIQ

New Music : Josiah Justice :The Next Best (Prod. By Grandmasters)

From Macume Rhymers comes Josiah Justice with the track The Next best from Grandmasters Studio under Producer known as JohnB in Arusha. for more info about the Artist visit  

New Music : Classic Boyz- Mimi Na Wewe (Prod.Br Marungi)

SONG DETAILS
SONG NAME: Mimi na wewe
CREW NAME: Classic boyz
STUDIO NAME: 313greenhouse record
STUDIO LOCATION: Arusha, usa river
PRODUCER: BR MARUNGI
 
Kundi hili linaundwa na Wasanii wawili Steve King na Lute Classic..
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes