BREAKING NEWS

Download

Monday, March 25, 2013

DNA ASHINDWA KUELEWANA NA CLEMO WA CALIF RECORDS KUHUSU KAZI ZAKE

Msanii kutoka KENYA anayefahamika kama DNA ameshindwa kuelewana na CLEMO wa CALIF RECORDS kutokana na DNA kueleza kua haki zake zinakiukwa kwa matumizi mabaya ya ngoma yake kali ya MASWALI YA POLISI............
                                                                        DNA
 Tayari DNA amekwishaanza kuchukua tataribu za kisheria akishirikiana na Mamlaka ya Hakimiliki ya Kazi za wasanii nchini Kenya, MCSK kurekebisha hali hii.
                                                     CLEMO WA CALIF RECORDS

SHAH BANG AWEKA WAZI JUU YA UZINDUZI WA MIXTAPE YAKE

                                      

Akizungumza kwa njia ya simu kutoka ARUSHA, SHAH BANG akusita kuelezea siku yake hiyo ya uzinduzi wa mixtape aliyoiita jina la MEDIA INA NJAA............
Namnukuu.......''kwa kweli mwana nimejiandaa fresh katika uzinduzi huo, kwani kila kitu kinaenda poa.... ila nawasisitiza raiya wajitokeze kwa wingi ili wajionee jinsi gani SHAH BANG nilivyojiandaa'' .......mwisho wa kumnukuu.
Mbali na maneno hayo SHAH BANG alinieleza kua siku hiyo kutakua na SUPRIZE kwa fan wake wote mtakaojitokeza pande zile za APEX CLUB ARUSHA KIJENGE JUU tar 30 mwezi wa 3..........   Wasanii watakao mpa shavu jukwaani ni hawa...........
>RIVER CAMP
>JAMBO SQUAD
>BOU NAKO
>MO PLUS
>NASH MC
>BOOM BLUST
>GENTIEZ
>GOODNATION CREW
>WIZZLE NA SALMIN
>MASEBO
> VIVACONCIOUS ''MNENE BABA MKUBWA''  na wengine kibaooooo............

kiingilio ni buku tano >5000<
            Uongozi wa BLOG hii unamtakia mafanikio mema SHAH BANG............
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes