Producer Mdogo Kutoka Katika Label Ya Music Ya De Fatality
Mesen Selekta leo Mapema Asubuhi aliamua kuweka wazi ..Jambo ambalo wengi wasingetegemea kuwekwa wazi ,baada ya Producer huyo Kuamua kuweka wazi Program ambayo anaitumia kutengenezea Midundo adimu ambayo anaitengeneza kwa mwaka huu 2013..
fl studio fire horse
Tangu mwaka uanze Mtayarishaji huyu wa Muziki ameshapika HIT SONG 10 Kama PUNCH vOCAL Ya Viva Conscious , JEURI YAO Ya King Desamo , Kala Jeremiah na Stereo , NISHAI YA chibea na Juru , FALLING ya Tannah na Dully Sykes ,Na Zinginezo .