BREAKING NEWS

Download

Saturday, March 16, 2013

Unamfahamu Swahili Kid ..Rapper Kutoka East Africa Mwanza?

The Swahili Kid Ni Msanii Mpya Wa Muziki Wa HipHop Kutokea Jiji La Rap City-Mwanza 
Akiwakilisha Kundi La "Dark EmCeez Connections" Akiwa Kama C.E.O.
The Swahili Kid
 Ameamua kutoa double track kwa ajili ya kubless mashabiki wake wa hip hop 
waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu but the boy is back to the game na kwa sasa
 anatarajiwa kuachia Mixtape album yake iitwayo "B.B.M (Biggie Brutha Mathematics)
".Wimbo wa kwanza amefanya na Big Trill,Kush Hood,Gigi Na female rapper mkali 
kutoka Atlanta Georgia "Rakea Rudegal Buc" ambaye anaonekana kwenye picha hapo
 ngoma inaitwa 'Gimme Money" 
.DOWNLOAD HAPA
Wimbo wa pili amefanya na kaka mkubwa "P The Mc,big trill&b-52" na ngoma 
inaitwa "Nastiest Flows".
DOWNLOAD HAPA
aNategemea kupokelewa vizuri na mashabiki wa hiphop nchini Tanzania na
 dunia nzima,Pia nahitaji support toka kwa medias ili nyimbo zake ziweze
 fika mbali,pia kama kuna management itatokea kuvutiwa na kazi zake basi 
wasiliana kupitia:
Phone Number:0769396376
E-mail:pacthenotorious@yahoo.co.uk,darkemceez@gmail.com
Kurasa yake ya facebook ni:
www.facebook.com/ellpollogeezy
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes