Monday, March 11, 2013
ALICHOKIFANYA JUSTIN TIMBERLAKE BAADA YA KUSHINDWA KUMVUMILIA KANYE WEST
Justin Timberlake na Kanye West
Wiki mbili zikiwa zimepita baada ya Justin Timberlake KUDISIWA na KANYE WEST kwa ngoma maarufu ambayo amefanya pamoja na JAY Z, SUIT & TIE, mkali huyu ameshindwa kuendelea kukaa kimya kwa issue hii, na ameamua na yeye kuipeleka jukwaani kwa kugeuza moja ya mistari iliyopo katika nyimbo hiyo kama DISS yake kwa Kanye.
MSTARI AMBAO ALIUTUMIA JUSTIN TIMBERLAKE KATIKA KUJIBU HAYO ALIUBADILISHA KATIKA NGOMA YA SUIT & TIE AMBAYO INATAFSIRIWA KUMLENGA KANYE MOJA KWA MOJA.........HUU HAPA
"And aw, shit so sick, got a hit and picked up a habit," to "My hit's so sick, got rappers acting dramatic."
NOUMAAAAAA KWELI KWELI MSHIKAJI WANGU...........

Subscribe to:
Posts
(
Atom
)