Justin Timberlake na Kanye West
Wiki
mbili zikiwa zimepita baada ya Justin Timberlake KUDISIWA na KANYE WEST
kwa ngoma maarufu ambayo amefanya pamoja na JAY Z, SUIT & TIE,
mkali huyu ameshindwa kuendelea kukaa kimya kwa issue hii, na ameamua na
yeye kuipeleka jukwaani kwa kugeuza moja ya mistari iliyopo katika
nyimbo hiyo kama DISS yake kwa Kanye.
MSTARI AMBAO ALIUTUMIA JUSTIN TIMBERLAKE KATIKA KUJIBU HAYO ALIUBADILISHA KATIKA NGOMA YA SUIT & TIE AMBAYO INATAFSIRIWA KUMLENGA KANYE MOJA KWA MOJA.........HUU HAPA
"And aw, shit so sick, got a hit and picked up a habit," to "My hit's so sick, got rappers acting dramatic."
NOUMAAAAAA KWELI KWELI MSHIKAJI WANGU...........
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment