Brand new video from Dauu Films
Artist: Abrah Mbili2 x Hakeem 5
Song: Sitaki
Crafted/Directed by: David E. Ndosi
Saturday, April 27, 2013
Wanene Entertainment Presents : New Music - Kya GrynDr - For The People (prod. by X-tra)
Kya GrynDr releases second song of 2013 available for download !
Produced by -> @soundcloud.com/mcivan-thompson
Mixed By @soundcloud.com/thetabooartist
Friday, April 26, 2013
New Music : Wizo, Willy Fololo, Viva, Masebo -Nitakuoa (Goodnation Music)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl1noLvcK8LmV_6iVYNdmqudVCKo_kasGUR_sfKtl6B-FDk4y1hqdBusHr4ZP27gx9Lj9n75J0hPXzTFUCRLgjavNWMwcAB-2QNK0mPn3zZo5uKxAoe71UkAyb3wwb3xPQNx9dxvTJA_w/s400/3573_596168777067896_1265805011_n.jpg)
New Music From Goodnation Music Classic ndani kuna Wizoo , Willy Fololo toka Kenya , Viva Conscious Pamoja na Masebo .Mdundo ukipikwa na Masebo GoodNation Producer.
Monday, April 22, 2013
New Music Video _Gnako -Mama Yeyoo ((Ft Ben Pol)
A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, ( MAMA YEYOO - G.Nako Ft. Ben Pol - Official Music Video ) SHOT IN ARUSHA TANZANIA....MUSIC produced By Mona Gangsta & Chizan Brain - Classic Sounds - VIDEO Directed by NISHER
New Music : Salmin Swaggz - Dope Freestyle (Exclusive)
New Music Toka kwa Salmin Swaggz..GoodNation Music Representative..Ni Freestyle Version Ya Ngoma ya Tyga wa YMCMB
Saturday, April 20, 2013
Wednesday, April 17, 2013
Coming On 1st May Kutoka Wanene Entertainment . ..OUT SPOKEN VIDEO
Kutoka Wanene Entertainment Anaitwa Antoneyo ambaye Mwanzo mwa Mwezi Huu ataachia Video yake ya OUTSPOKEN .
Be Intouch Na Hizi Address
Nunua Wimbo wa Adam Ni Mimi Pekee Kupita Tigo
![Photo](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/p480x480/12353_443282122429622_201423641_n.jpg)
Jinsi Ya Kununua Caller Tune ya wimbo wa Adam Ni Mimi Pekee Kupitia tIGo
Tuma 23648 Kwenda 15007 Upate muziki mzuri toka GOODNATION
New Music : Motra ft Wizzo - Usiwe Chanzo (Prod.MASEBO GoodNation)
![Photo: http://www.hulkshare.com/9s07dc7xwh6o](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/p480x480/63507_441644589260042_1383765843_n.jpg)
Ngoma Mpya ambayo ndani yake Umeguswa na Producer Masebo GoodNation..anaitwa Motra The Future Product Ya S.U.A Movement ya kusaidia Undergrounds Mcs..Humu Akimshirikisha Wizzo kutoka Goodnation...
Monday, April 15, 2013
Friday, April 12, 2013
New Music : Jcb ft Ben Pol & Chaba -I DON CARE
Ngoma Mpya YA JCB akiwa na Chaba pamoja na Ben Pol,Track hii inayoitwa "I dont Care",Mkono heavy wa hiphop toka kwa J Ryder & Noizmekah Studios Arusha) HERE and keep supporting Tanzanian Music.
New Music : Mule Mule Music Presents -Tash -Unajidai Nini (Prod.Rash Don/StreetSound)
Baada ya kufanya vizuri na track kama CHAPIA na BARIDA sasa Tash a.k.a
Masai Touzi aja na track mpya ''UNAJIDAI NINI'' produced by RASH
DON/STREET SOUND MUSIC.
Ikiwa wewe ni mtu muhimu na mdau katika tasnia hii ya mziki mzuri naomba support yako katika kuipush nyimbo hii ili tuendelee kukuza mziki wetu wa bongo flava.
Nashukuru kwa ushirikiano wako na MUNGU akubariki.
Asante
Ikiwa wewe ni mtu muhimu na mdau katika tasnia hii ya mziki mzuri naomba support yako katika kuipush nyimbo hii ili tuendelee kukuza mziki wetu wa bongo flava.
Nashukuru kwa ushirikiano wako na MUNGU akubariki.
Asante
Track:Unajidai Nini
Artist:Tash
Prod:Rash Don/Street Sound Music
MULEMULEMUSIQ
Artist:Tash
Prod:Rash Don/Street Sound Music
MULEMULEMUSIQ
New Music : Josiah Justice :The Next Best (Prod. By Grandmasters)
From
Macume Rhymers comes Josiah Justice with the track The Next best from
Grandmasters Studio under Producer known as JohnB in Arusha. for more
info about the Artist visit
New Music : Classic Boyz- Mimi Na Wewe (Prod.Br Marungi)
SONG DETAILS
SONG NAME: Mimi na wewe
CREW NAME: Classic boyz
STUDIO NAME: 313greenhouse record
STUDIO LOCATION: Arusha, usa river
PRODUCER: BR
MARUNGI
Kundi hili linaundwa na Wasanii wawili Steve King na Lute Classic..
Wednesday, April 10, 2013
New Music : Chin Bees-Let Me Know ft Nahreel & Aika (Prod.by Nahreel)
Ngoma Mpya ya Kijana Ambaye anaonyesha ujio wa Hali ya juu Sana naejulikana kama CHIN PBEES Ambaye awali alifanya vizuri katika Ngoma yake ya simanzi akiwa na Ben Pol na Pia kING DOM Akiwa na Country Boy... Lakini hili linaweza kuwa kubwa Kuliko ,.Hii ni ngoma yake mpya akiwa na NAHREEL Pamoja na AIKA member wa mwanzo wa PAH ONE
Ngoma inaitwa LET ME KNOWIkifanywa na Nahreel Producer kutoka Studios za HOME TOWN Ubungo
KingKapita Feat. Godzilla-Kunatatizo HD
KingKapita Feat Godzilla-Kunatatizo
Produced by Mesen Selekta,Defality Studio
Directed by:Edson 2.5D,Wycliff
Creativemindstz copyright 2013
Jordan - Mapenzi Vita (Official Video)
Produced By John B
Grand Master Production
Video Visualized By Masebo Wema Production
CLASSIC VIDEO
Wanene Entertainment Present : Kya GrynDr- Christopher Wallace (Produced By Kya GrynDr And Antoneyo)
A Classic Track From Wanene Entertainment Team ...Presents Kya GrynDr a Hip Hop Track ..PrOduced By Kya Gryndr himself and Mastered by Anto'neyo ..
Track Know as CHRISTOPHER WALLACE
don Be Late To download and Stream online
WE CALL IT A MILLENIUM RAP SHIT
Saturday, April 6, 2013
New Music : Big Sean Ft Common -Switch Up (G.O.O.D Music)
Wakali wawili Kutoka Label ya Mkali Kanye West Humu Namanisha Big Sean na Mkali wa Ghani COMMON.. wanaoiwakilisha G.O.O.D MUSIC crew ambayo inaundwa na ma rapper kama 2chainz, Consequence , Pusha T Na wengi....
Ngoma Yao Inaitwa Switch Up
Viva Promo Presents : Rick Ross - Don't Kill My Vibe (Freestyle)
Rick Ross - Don't Kill My Vibe Freestyle
Directed by Jon J. #MaybachFilms
Directed by Jon J. #MaybachFilms
New Music : Godzilla - Zaidi Yao (Mj Production)
Ngoma Mpya Kutoka Kwa Zillah King SalaSala
Bonge moja la Mkono chini ya MJ Records Inatwa ZAIDI YAO Internationally sound for sure
Thursday, April 4, 2013
New Music : Dogo Janja ft Pnc -Maisha ya Skonga (Exclusive)
New Music Kutoka Kwa Dogo Janja Akiwa na Pnc Akielezea Maisha ya Shule.Je kilichoimbwa ni sawa na Maisha yake Halisi ya shule ..Sitaki Ku comment mengi kuhusu Hili Jipatie Huu Wimbo Then Uskize Aliyoyaongea
Wednesday, April 3, 2013
Stereo Na Amani wa Kenya Ndani Ya Ngoma Moja
AKIWA CHINI YA UNITY ENTERTAINMENT YA AY, MACHINE YA MICHANO YA HIP HOP STEREO AMBAYE MWANZO ALIKUWA CHINI YA LABEL YA TAMADUNMUZIK ANATARAJIWA
KURUDI UPYA AKITAMBULISHA ALBUM YAKE MPYA,INAYOANDALIWA NA KAMPUNI YA
MSANII MWENYE MAFANIKIO NCHINI TANZANIA AMBWENE YESSAYAH "AY",SINGLE
INAYOTARAJIWA KUTOKA HIVI KARIBUNI,STEREO AMEMSHIRIKISHA MWANADADA AMANI
KUTOKA KENYA,............
AMANIHUYU NDIYE MSANII AMBAYE AMESHIRIKISHWA KATIKA SINGLE HIYO YA STEREO, AMBAYE ANATOKA KATIKA CORD YA 254 NAMAANISHA KENYA.........
KWA HUU USHIRIKIANO LAZIMA KITOKE KITU KIKALI SANA............all da best stereo!!!!!!!!!
Rapper KiD CuDi Aikacha G.O.O.D. Music Inayomilikiwa Na Kanye west
Rapper Aliekua Katika Label Ya Kanye West Maarufu Kama KID CUDI Ambaye alitamba sana Katika wimbo wa Kanye west ft Rihanna Lights ...Leo Alitangaza Kutoka katika Label ya Muziki Inayomilikiwa na Kanye west Maarufu kama G.O.O.D Music inayokusanya ma rapper maarufu kama 2 Chainz ,Big Sean .
KID CUDI Alitangaza Rasmi katika Mahojiano na kipindi cha Power 106 LA,akielezea madhumuni yakujitoa ni katika kutafuta mwenendo imara wake binafsi na msanii mwenzake ambae anamiliki akijulikana kwa jina la King Chip.
Haya Yalikua maneno yake
"Man, everything is cool. Everything is peace with everyone on the label,
but I’m announcing that I’m no longer on G.O.O.D. Music. And this is
something that no one knows really. I’m no longer on G.O.O.D.
Music... Me and Kanye were actually talking on the phone the other day,
and there’s been things I wanted to talk to him about. About me wanting
to start my own direction, and he got because he’s trying to start his
own new path, and trying new things as an artist. And he was just like
‘Man, I feel you. It’s cool.’ This is just from a business standpoint.
There’s no beef with anyone on the label. It’s all love."
Sikiliza Mahojiano hapa Kwa njia ya Sauti
This Friday at Ambassadors Lounge --Vanesa Mdee , Maua And Trida Shanz Live
Ijumaa Hii ndani ya Ambasadorm Lounge Ndani ya Benjamini Mkapa Towers Posta Jb Belmot Hotel Kutakua na SINGLE LADIES WALKOUT Party Ikiiongozwa na DIVA LOVENESS LOVE Upande wa Host na Ikipambwa na Singers wakali Kama Vanessa Mdee mkali wa Closer Pia Maua mkali wa So crazy Akiwa na Mwana Fa pia Trida Shanz mkali wa Girlzdance
Upande wa Ma DJ Itapambwa na DJ STEVE B Toka Clouds Fm , Dj Bulla Toka Clouds Fm na Dj Skit toka Home Boyz Dj
Kuanziaaaaa saaaaa 3 Usiku Kiingilio ni Tsh 10000 Na Zitatolewa Free Cocktails kwa Ladies 50 wa Kwanza Usikoseeeee
Tuesday, April 2, 2013
New Music - Bonta : Leta Badae (Produced by Q The Don)
New Music Kutoka kwa Mweusi Bonta Maarifa Moja Kati ya Ma Mc Wa Kali tZ .Baada ya Matusi Kuumiza Sana Kitaa Hii ni ngoma mpya Ambayo imepikwa na Q THE DON Producer mkali wa Hip Hop Ambaye Ana Makaziyake mjini Mwanza..Ngoma Inaitwa LETA BADAE
Ambayo Cover Yake Imeguswa Na Kampuni Maarufu ya kutengeneza COVER Viva Arts Presenting
Monday, April 1, 2013
Producer kutoka Tanzania Aliyeko India Akifanya makubwa
Viva Blog katika Harakati za Kuishi katika Muziki, Nilifanikiwa kupata Updates kuhusu Watayarishaji wanaotoka tanzania lakini wapo nje ya nchi. Nilifanikiwa Kukutana na DENNO MANEVIA Mtayarishaji wa Muziki wa Hip Hop anaeishi India kwa muda HUU. Binafsi Nilifarijika Kuskia Mengi kutoka kwake kuhusu Utayarishaji wa Muziki Ulio Bora Ambao una Ubora wa Kimataifa Na Haya Yalikua Mazungumzo yangu na yeye
Viva Arts : Niaje Jamaa How is you?
Denno Manevia : Ni Poa asee
Viva Arts :Jina lako Kamili la Passport ni nani?
Denno Manevia :Dennis c ogutu
Viva Arts: ulianza Ku Tayarisha Muziki mwaka gani
na Nani alikua mtayarishaji alie ku inspire ndani na nje ya nchi
Denno Manevia: Nilianza mwaka 2008 Na Alie ni Fanya mpaka kuingia humu kwa Nje ya nchi ni Ryan Leslie na Ndani ya nchi hasa ni P.funk na NahReel
Viva Arts : Ni vifaa Gani ambavyo una vi master vizuri katika Utengenezaji wa Muziki?
Denno Manevia : Hasa ni Guiter , Key Board ,Drums na Mpc
Viva Arts : Hivi sasa unasomea Utayarishaji wa Muziki Nchini India je ni chuo gani?
Denno Manevia : University JAcobs school of Music
Viva Arts: Mtazamo wako katika Utayarishaji wa Tanzania na Nchi zingine tofauti kubwa ipo wapi?
Denno Manevia : Tofauti ni utumiani vyombo ya muzik kwa mfano nje wanatumia sana vyombo Live na tanzania wengi waandaaji wa muziki hutumia sanasana program
kama fl napia tanzania tunafanya kazi kwa ugumu na upungufu wa vifaaa.
Viva Arts : Unaonaje soko la muziki Tanzania na Nje?
Denno Manevia : Tofauti ipo kubwa sana nje na tanzania tz now inafahamika sana kupitia
muziki wetu na watu wa nje wanakubal sana tufauti ni ndogo sana kwasasa,Japo kwa nje watu wana peana sana sapot wa kunua orijino copy za kazi zao na wanakubali sana kazi zao
FOR MORE CHECK IT UP KESHO TUNAENDELEA PART 2
Video mpya ya King Kapita (Nguli la kindai) akiwa na Godzila Yakamilika ku shootiwa
Ile Ngoma Kali kutokakwa Mkali King Kapita moja kati ya Member wa Movement ya Manguli wa Kindai amaemaliza Ku shoot video ya wimbo wake mPya aliomshirikisha Godzilla ikiitwa Kuna tatizo kwani ikipikwa na Mesen Selekta
Chupa Lake ni Balaa according to Location Areas Haya ndo aaliyoyaandika katika ukurasa wake wa Facebook
"Asante mungu video yenu imeisha japo mvua ilitamba sanaaaaaa mpk nkatanani kuacha still mzigo ulisonga# shout to wyclif, edson , sam missago, godzillah, team eastafrica#team kapita# team fans# soon mzigo utadondoka eti kunatatizo kwani???# love yu all"
FIND HIM ON FACEBOOK CLICK HERE
Chupa Lake ni Balaa according to Location Areas Haya ndo aaliyoyaandika katika ukurasa wake wa Facebook
"Asante mungu video yenu imeisha japo mvua ilitamba sanaaaaaa mpk nkatanani kuacha still mzigo ulisonga# shout to wyclif, edson , sam missago, godzillah, team eastafrica#team kapita# team fans# soon mzigo utadondoka eti kunatatizo kwani???# love yu all"
FIND HIM ON FACEBOOK CLICK HERE
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)