Hii ni Official Cover Ya Wimnbo na Video ya ngoma mpya ya B.Baffa bingwa wa Mpaka Bhaasi na It's Not Easy chini ya utayarishaji wa studio ya Home Town Yenye makazi yake Ubungo Plaza Jijini Dar-es-salaam.. Chini Ya Producer Mkali NahReel.Ngoma inaitwa ON THE WAY
Itakua ni Double Release ya Video na audio amnbayo inatarajiwa kutoka Mwezi wa nne Mwishoni
Kaa Mkao wa kula na endelea kuwa karibu na Mtandao HUU
covered by Viva Arts works
Sunday, March 31, 2013
Coming Soon : B.Bafa -On the Way Produced by NahReel(Video by zero one Videos)
Posted by Viva Conscious on 12:03 PM in b.baffa nahreel on the way Viva Promo Only | Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment