BREAKING NEWS

Download

Wednesday, December 12, 2012

Sababu ya Ezden ...Kutoskika Kiss Fm kupitia Kiss Kollabo mix show



Watu wengi wamekuwa hawamskii mtangazaji mahiri wa kipindi cha Kiss Kollabo mix show Ezden The rocker Moja kati ya watangazaji Maarufu sana hapa Tanzania kutokana na uchapaji kazi wake. Viva Conscious Arts Presenting kupitia C.E.O Joseph Viva  Alipiga stori na ezden kuhusu hili Kuptia simu yake ambayo inaanza na +255
VIVA : Kaka Niaje
EZDEN :Poa Viva Wats good?
VIVA: Poa sana ,ebana nina maswali kadhaa toka kitaa , Tangu October 2012 Hatujaweza kukuskia tena kupiti Kipindi chako cha KISS COLLABO MIXSHOW pale Kiss fm wats wrong BRO
EZDEN : Dah , Kweli , Tangu October nimekua Nje ya Kiss fm kwa maana ya ,Nimeacha kazi pale.
VIVA : Sababu kubwa ya Kuondoka kiss fm ilikua ni nini hasa?
EZDEN : It sucks to say, but ishu kubwa ni Financial Issues ..Jamaa walikua wanachelewesha sana mkwanja MIEZI 3 BILA SALARY...!!! Mbaya mzee…na hiyo ni source kubwa ya Presenter wengi wazuri kusepa Kiss fm.
VIVA : So Kwa Upande wako Malipo yako hayakufanyika kwa muda gani?
EZDEN : Ilikua ni Muda, hata sijui huu mwaka unaoisha nimefanya nini cha maana zaidi ya kujulikana, na hata nimetoka still wanazungusha mkwanja wangu tangu October mpaka leo 12-12-12. Sio ishu nzuri kwa kampuni kubwa kama SAHARA.
VIVA : OK.Kwa hio mpaka sasa upo chini ya Radio au media yoyote ile?
EZDEN : Soon nitakua na radio fulani ya hapa Dar, U'll be informed though I'm still pushin' my movements with a Kenyan internet radio Votu Radio ( www.voturadio.com ) and still more to come this 2013.
VIVA : Shukrani sana Bro na Mungu akuongoze katika kuendeleza Harakati za Muziki ..na haswa muziki wa HIP HOP.
EZDEN : Peace Viva Pamoja sana

Meet Him on his facebook page www.faceebook.com/ezden

Reggae Movement Exhibition


Tanzania Rastafari Movement
Jumamosi Hii inakuletea Reggae Movement Exhibition
Sound system kutoka Jamaica hadi Europe
Wasanii watakao perform ..20 Percent , Jhiko Man , Mzungu kichaa , Ras Mizizi , Ras Kabonga , Ras Bumijah , Kush Shaka
Mahala ni Zhonghua Garden Kuanzia saa 4 Usiku mpaka asubuhi…Kiingilio Buku 5 tu
Piga namba hizi kwa more info .0713174556/0718744411



 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes