BREAKING NEWS

Download

Tuesday, December 11, 2012

Stamina Aendelea Kufanya Vizuri Katika Mtandao wa Reverbnation

Mc kutoka Moro Moro Morogoro Alimaarufu kama Stamina Supermario ama Kabwela mwenye Kitambi. Ndie msanii anaefanya vizuri katika Mtandao wa Reverbantion ambao unawajumuisha wasanii wengi duniani takribani milion 10 ..
Mc Huyu Ndiye Msanii wa Tanzania mwenye Templates Hits Nyingi .na Hiyo ni dalili nzuri kutokana na Opportuinity kutoka SHows za NJE Ya Nchi ambazo huandaliwa na Reverbnation crews
 Tembelea Hapa upate kuona
                             www.reverbnation.com/staminasupermario

Roccana Basement New Music : Hero ft Benn Byt - Sababu (Prod.Jimmy Jizze )

Wimbo Mpya wa Msanii Chipukizi Kutoka Dar-es-salaam anaitwa HERO ambae Anaibukia katika Familia ya Muziki yani Roccana Basement iliyopo chini ya Castro Anderson..
Wimbo huu unaitwa SABABU ambao amemshirikisha BENN BRYT.na mkono ukifanywa na JIMMY JIZZE ..Beat hadi Mixing..
Unaweza Ukadownload Hapa


                                           DOWNLOAD HAPA

Anto’Neyo Teams Up With Arusha’s Upcoming Producer Daz! [ BANGER! ]



 Brand New Coming Track of The ARTIST From Wanene Entertainment who is American ..Here is the Track Produced By Tanzanian Producer who is Upcoming with alot of Hit in Tanzania Named DAZ NALEDGE. check it out the Track below
  Anto'Neyo [ The Artist ] - G.A.M. [ LIMITED TIME PREVIEW! ] by Anto'Neyo (The Artist.)

Wanene Entertainment Underground Hip-Hop Mixtape.Kutoka Hivi Karibuni



Wanene Entertainment ambayo ni moja kati ya Record label inayofanya vyema kwenye game la mziki huu wa kizazi kipya hasa kwa kuwakutanisha wasanii mbali mbali kutoka nje na ndani ya Tanzania na Afrika yenye makao yake makuu jijini Arusha, karibuni inampango wa kuachia kanda Mseto  mapema mwakani! Akiongelea hilo Darsh Pandit C.E.O wa Wanene Ent amesema kwamba wanatarajia kuachia kanda mseto hiyo mwezi wa kwanza mwakani (2013) na kwamba  itakuwa na ladha tofauti ambayo haijapata tokea na kwamba anawaamini wasanii wake kwa uwezo walionao na vitu wanavyoweza kufanya muda na wakati wowote ule.... Akiongelea juu ya nani na nani watakuwepo kwenye kanda mseto hiyo Darsh alimtaja mtu mzima Anto'Neyo ama waweza muita The Artist, pia kutoka Arusha Tanzania Gentriez Mwakitabu naye atakuwepo kwenye toleo hilo bila kumsahau Louis Hammock
                                            LOUIS HAMMOCK-BRITISH
                                               GENTRIEZ MWAKITABU-TANZANIAN
                                                     ANTONEYO-AMERICAN

Kuwa Karibu Nao kupitia 
                                             Wanene Page 
                                     Antoneyo The Artist Facebook
                                  Wanene C.E.O Darsh PANDIT Facebook
                                GENTRIEZ Facebook
                                           Louis Hammock Facebook 
                                      OFFICIAL WEBSITE
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes