BREAKING NEWS

Download

Thursday, October 25, 2012

Louis Hammock - Lunchtime Accapela Video

Brand New Track : King Kapita ft Tash - Shikamoo Pesa

ANAITWA KINGKAPITA ZAMANI ALIFAHAMIKA KAMA RICHBOI AMBAE NI MWANAMZIKI WA BONGO HIPHOP ALIEWEZA KUFANYA VIZURI KATIKA NGOMA KAMA YA HERE WE GO AKIWA NA WAKACHA IKIWA NA WASANII KAMA JUX,NAS 3,GIGGA FLO NA KID,PIA NA HIT TRACK ACHAAA ALIO IMBA NA NAS 3 BAADAE HIT INAYOKWENDA KWA JINA LA MTOTO MLITO ALIOIMBA NA NAS 3 WAKIMSHIRIKISHA RICH MAVOCO SASA ANAKUJA TENA NA NGOMA KALI YA MWAKA!! ARTIST: KINGKAPITA SONG:SHIKAMOO PESA FEAT:TASH STUDIO:ROCCANA BASEMENT PRODUCER: JIMMY JIZZE& TRAVELLER ANAOMBA SUPPORT YENU SIKILIZA IO NYIMBO HAPO CHINI

Official Video :Nash Mc - V.V.U .Dr Tawakal Khamis.


V.V.U VINA VIKALI USIPIME NI WIMBO WA NASH EMCEE ULIOMO KWENYE SANTURI YAKE YA MZIMU WA SHAABAN ROBERT!

NELLY aongea kuhusu BUS lake

October 11 ilikuwa siku ya nelly ya mawazo kutokana na msafara wake kusimamishwa baada ya bus ambalo alikuwa nalo kwenye msafara wake kushtukiwa kuwa na madawa ya kulevya aina ya heroin zaidi ya pacti 10 pamoja na marijuana vyote hivyo viliwekwa kwenye gari hilo na mmoja kati ya wafanyakazi wake aliye mtaja kwa jina Brian Keith Jones na alikamatwa na mwisho nelly kuandika maelezo baadaye na kuendelea na safari. Siku ya jana aliongea na kusema kuwa kiukweli amejikuta kwenye wakati mgumu sana baada ya kuona kila mtu anataka kujua kupita mimi kwamba ilikuaje na je why sikukagua gari ila kuanzia sasa nimejifunza na ntakuwa makini na wafanya kazi wangu ilikuweka hali ya kutoonekana mwalifu kwa watu na mashabiki wangu.

MEEK MILL afunguka juu ya "IN GOD WE TRUST"

Meek Mill amesema kuwa ujio huo ameuandaa kwa ajili ya album yake ya mwisho wa mwezi huu ya Dreams and Nightmares ambayo amefanya kwenye vyungu vya bwana mkubwa rick ross kwenye label ya Maybach Music group akafunguka pia kwamba video kadha amesha ziachia pamoja na kuachia tracklist ya project hiyo na kusema kwenye "In God We Trust," nikwamba amefunguka na kusema kwamba ameweka maisha halisi ya mtaani yalivyo kwa sasa na kuongeza kwamba yote hayo maisha ni kuhusu mapenzi pamoja na pesa kwa kila mtu.
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes