Wednesday, August 8, 2012
Fahamu Kujua Harakati za Malle Marxist...Day 1
Posted by Viva Conscious on 11:27 AM in | Comments : 2
Wiki Hii Nzima Tutaimaliza Katika kufahamu Harakati za Mmjoa wa Mc kutoka Tamaduni Muzik anaejulikana kama Malle Marxist...Kwa Muhtasari Anatokea Mwanza,Mecco SOUTH Hood na Kiufupi amejitengezea Jina kutokana na kujituma kwake katika Hip Hop MOvement akiwa Kama Mc na Akiwa Kama Mwanzilishi wa kwanza wa Kitabu Cha Chuo kikuu cha Hip Hop..HUU NI MUHTASARI TU NA HIZI NI MJA YA KAZI ALIZOZIFANYA KWA UFUPI.
Malle the founder of new Tanzania Platform Chuo kikuu cha Hip Hop (university of Hip Hop) dropping his first song and video recorded in Bantu records under Ray Teknohama
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Haiyaaa budaaah moja moja
ReplyDeleteYeree budaa tupate hizi
ReplyDelete