Monday, September 3, 2012
MTANASHATI ENT PRESENTS DOGO JANJA vs DOGO ASLEY NDANI YA MAISHA CLUB
2/9/2012 siku ya jumapili Mtanashati Ent ilifanya show iliyojaza watu kibao ndani ya Maisha Club ambapo Dogo Janja alipoteza mbaya na PNC a.k.a Shino kumwaga mauno kwenye stage. DOgo Janja aliwatambulisha wasanii wenzake kutoka Mtanashati Ent kama Amazon,Happy Balice na SHino ambaye aliimba naye pamoja. Dogo Asley na yeye alisindikizwa na washkaji kutoka TMK Wanaume wa Mkubwa na wanae
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)