Ngoma Mpya Ya Kundi zima la Mtanashati all starz linaloundwa na
Dogo Janja , Suma Mnazareti, Pnc ,Amazon na Happy Balyce Chini ya Uongozi wa
Ostazi Juma na Musoma .. Ngoma inaitwa WATASUBIRI na imetengenezwa na Mesen Selkta chini ya DE FATALITY music