BREAKING NEWS

Download

Thursday, November 1, 2012

Brand New Track: Kapuku Digital -MUUngu Nipe A-town

NYIMBO INAYO TESA MITAA YA ARUSHA KWA KASI MBAYA NYIMBO AMBAYO KILA DJ WA ARUSHA ANAPOANZA SHOW YAKE KWENYE RADIO ANAANZA NAYO.......KWAMARA NYINGINE TENA MUHUNI ANAYEMILIKIWA NA KAMPUNI YA MACHALII ENT. INAMTAMBULISHA KAPUKU DIGITAL AKA MITISHAMBA BAADA YA KUMTOA KWENYE HATARI YA MAISHA YENYE DHAMBI NYINGI MUHUNI HUYU NA SASA AMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA MACHALII TAYARI KWA KUTAYARISHA MIXTAPE YAKE ITAKAYO ZINDULIWA MWAKA 2015 NDANI YA ARUSHA ....... KAPUKU AMEKUABALIKA KWA KASI SANA NDANI YA MITAA YA ARUSHA HASA KWA WAHUNI........HUYU JAMAA BALAA HIII NI FLEVA NDOGO KUTOKA KWENYE MIXTAPE YAKE...JINA LA MIXTAPE LITATOKA MWAKA 2014 MWISHONI................... KWA KUWASILIANA NAE INTERVIEWS NA MAKILA KINGA ONANA na NAE KAPUKU KUPITIA CEO WA GENGE LA MACHALII ARUSHA 0655288796. Regards * Edmund E. Komba* * C.E.O of new WWW.NAJIFUNZA.COM project System Administrator, System Analyzer, Designer and Developer. Website developer Database implementer and administrator Graphic Designer Networking Technician Computer Technician ICT curriculum developer Managing Director (Tanzania Computer Engineering organisation) Webmaster of Machalii Ent. Arusha Communication Officer at Tanzania Orphans Education Network (TOEN) Dar es salaam Try to visit websites i designed: www.najifunza.com www.paradigms.co.tz www.teenspotmagazine.com www.torch-bearer.com www.orphanstz.org www.machalii.com Facebook user name: Edmund Komba IT Degree holder from University of Dodoma 2010. +255 655 288 796

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes