![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj96GzoP3IyTSfepTlephmIj1wA-DrrWSnY5Sm3duZ3g-9H-DksnpKwSSDWar4_EyTRtbNQvw7lBYGSx4TOupEDaPLfEYDUQdAPb5jhoixlGzelxQhyFsaUIIkufptNfc8JhgPwbywFHxM/s400/578365_529108457103049_1041753745_n.jpg)
TUWASUPPORT AY NA CPWAA KWA KUWAPIGIA KURA KWENYE TUZO ZA CHANNEL O
AY na Cpwaa wametajwa kuwania tuzo kwenye Channel Music Video Awards 2012. Kilichobaki ni watanzania kuwapigia kura kwa wingi ili tuzo zije nyumbani.
Hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya.
AY MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR
AY ft Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 14J kwenye simu yako na tuma ujumbe kwenda +27 83 920 8406 (makato ni ya meseji ya kawaida)
MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO
AY ft Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone andika 13C kwenda +27 83 920 8406
MOST GIFTED MALE VIDEO
AY ft. Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 1E kwenda namba hiyo juu
PIA UNAWEZA KUPIGA KURA KWENYE WEBSITE YA CHANNEL O
http://awards.dstv.com/channelo/index.html
AU
http://www.facebook.com/channelotv
Post a Comment