Here Ni Ngoma Mpya ya B.Bafa kutoka Home Town Studios akimshirikisha NahReal kutoka Pah One ..International Beat Imetengenezwa Na Jimmy Jizze kutoka Rocana Basement na Mixing ikifanywa na Traveller wa Home town.. Comment yangu Hii ni Moja ya International Sound Ambazo ni Kali kutokea Bongo. Embu Stream na Pia Download Free kupitia link below upate kuskiza Good Music ..hauchoki
Contact za B.bafa : +255717 093 517
gOOD mUSIC sESSION
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment