BREAKING NEWS

Download

Tuesday, September 7, 2010

Marcochalli aongea na 255 Baada ya kimya cha muda mrefu


Mtaarishaji wa Muziki katika studio za MJ Records Marcochalli muda si mrefu uliopita amezungumza na 255, ambapo tulitaka kufahamu juu ya Album ya Mtindo wa House aliyokuwa akiitenegeneza imeishia wapi, na vile vile 255 ilitaka kufahamu kinachoendelea kwa wakati huu pande ndani ya MJ RECORDS, Marcochalli: Kuna ngoma nilizimaliza kama ya kwangu na remix ya Problem ya mtu mzima C-Pwa na ngoma flani ya Shaa, lakini kuna ngoma tatu zimefutika Studio so hiyo imenirudisha nyuma kidogo, ila beat za ngoma hizo ninazo so itabidi vocal zirudiwe tena.

255: Ok, pole bradha... kuna kitu gani kingine kinaendelea?

Marcochalli: sasa hivi kuna ngoma mpya ya C Pwa ft Ngwair na Dully Sykes, Godzilla yupo katika miapango ya kufanya viddeo ya ngoma mpya, Izzo Business anamalizia Album yake, Shaa anamalizia Album yake pia, Funs wa Mj Records wasihofu kuna vitu vingi vinakuja kwa ajili kabla kumaliza mwaka.

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes