Ni ngoma mpya kutoka katika kundi la Navy Kenzo ambalo linaunganisha vichwa vitatu ambayo ni Nahreel, Aika pamoja na Weestar, kwa pamoja wameachia ngoma yao mpya inayo kwenda kwa jina la Chelewa. Ni bonge moja la ngoma ambayo ukiisikila ninauhakika utaizimikia tuu.
Isikilize hapa chini...