BREAKING NEWS

Download

Wednesday, April 3, 2013

Stereo Na Amani wa Kenya Ndani Ya Ngoma Moja

AKIWA CHINI YA UNITY ENTERTAINMENT YA AY, MACHINE YA MICHANO YA HIP HOP  STEREO AMBAYE MWANZO ALIKUWA CHINI YA LABEL YA TAMADUNMUZIK ANATARAJIWA KURUDI UPYA AKITAMBULISHA ALBUM YAKE MPYA,INAYOANDALIWA NA KAMPUNI YA MSANII MWENYE MAFANIKIO NCHINI TANZANIA AMBWENE YESSAYAH "AY",SINGLE INAYOTARAJIWA KUTOKA HIVI KARIBUNI,STEREO AMEMSHIRIKISHA MWANADADA AMANI KUTOKA KENYA,............
                                                        AMANI
HUYU NDIYE MSANII AMBAYE AMESHIRIKISHWA KATIKA SINGLE HIYO YA STEREO, AMBAYE ANATOKA KATIKA CORD YA 254 NAMAANISHA KENYA.........
  
 KWA HUU USHIRIKIANO LAZIMA KITOKE KITU KIKALI SANA............all da best stereo!!!!!!!!!

Rapper KiD CuDi Aikacha G.O.O.D. Music Inayomilikiwa Na Kanye west

 
Rapper Aliekua Katika Label Ya Kanye West Maarufu Kama KID CUDI Ambaye alitamba sana Katika wimbo wa  Kanye west ft Rihanna Lights ...Leo Alitangaza Kutoka katika Label ya Muziki Inayomilikiwa na Kanye west Maarufu kama G.O.O.D Music inayokusanya ma rapper maarufu kama 2 Chainz ,Big Sean .
KID CUDI Alitangaza Rasmi katika Mahojiano na kipindi cha Power 106 LA,akielezea madhumuni yakujitoa ni katika kutafuta mwenendo imara wake binafsi na msanii mwenzake ambae anamiliki akijulikana kwa jina la King Chip.
Haya Yalikua maneno yake 
"Man, everything is cool. Everything is peace with everyone on the label, but I’m announcing that I’m no longer on G.O.O.D. Music. And this is something that no one knows really. I’m no longer on G.O.O.D. Music... Me and Kanye were actually talking on the phone the other day, and there’s been things I wanted to talk to him about. About me wanting to start my own direction, and he got because he’s trying to start his own new path, and trying new things as an artist. And he was just like ‘Man, I feel you. It’s cool.’ This is just from a business standpoint. There’s no beef with anyone on the label. It’s all love."
 Sikiliza Mahojiano hapa Kwa njia ya Sauti


This Friday at Ambassadors Lounge --Vanesa Mdee , Maua And Trida Shanz Live

 Ijumaa Hii ndani ya Ambasadorm Lounge Ndani ya Benjamini Mkapa Towers Posta Jb Belmot Hotel Kutakua na SINGLE LADIES WALKOUT Party Ikiiongozwa na DIVA LOVENESS LOVE Upande wa Host na Ikipambwa na Singers wakali Kama Vanessa Mdee mkali wa Closer Pia Maua mkali wa So crazy Akiwa na Mwana Fa pia Trida Shanz mkali wa Girlzdance 
Upande wa Ma DJ Itapambwa na DJ STEVE B Toka Clouds Fm , Dj Bulla Toka Clouds Fm na Dj Skit toka Home Boyz Dj
Kuanziaaaaa saaaaa 3 Usiku Kiingilio ni Tsh 10000 Na Zitatolewa Free Cocktails kwa Ladies 50 wa Kwanza Usikoseeeee
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes