Viva Blog katika Harakati za Kuishi katika Muziki, Nilifanikiwa kupata Updates kuhusu Watayarishaji wanaotoka tanzania lakini wapo nje ya nchi. Nilifanikiwa Kukutana na DENNO MANEVIA Mtayarishaji wa Muziki wa Hip Hop anaeishi India kwa muda HUU. Binafsi Nilifarijika Kuskia Mengi kutoka kwake kuhusu Utayarishaji wa Muziki Ulio Bora Ambao una Ubora wa Kimataifa Na Haya Yalikua Mazungumzo yangu na yeye
Viva Arts : Niaje Jamaa How is you?
Denno Manevia : Ni Poa asee
Viva Arts :Jina lako Kamili la Passport ni nani?
Denno Manevia :Dennis c ogutu
Viva Arts: ulianza Ku Tayarisha Muziki mwaka gani
na Nani alikua mtayarishaji alie ku inspire ndani na nje ya nchi
Denno Manevia: Nilianza mwaka 2008 Na Alie ni Fanya mpaka kuingia humu kwa Nje ya nchi ni Ryan Leslie na Ndani ya nchi hasa ni P.funk na NahReel
Viva Arts : Ni vifaa Gani ambavyo una vi master vizuri katika Utengenezaji wa Muziki?
Denno Manevia : Hasa ni Guiter , Key Board ,Drums na Mpc
Viva Arts : Hivi sasa unasomea Utayarishaji wa Muziki Nchini India je ni chuo gani?
Denno Manevia : University JAcobs school of Music
Viva Arts: Mtazamo wako katika Utayarishaji wa Tanzania na Nchi zingine tofauti kubwa ipo wapi?
Denno Manevia : Tofauti ni utumiani vyombo ya muzik kwa mfano nje wanatumia sana vyombo Live na tanzania wengi waandaaji wa muziki hutumia sanasana program
kama fl napia tanzania tunafanya kazi kwa ugumu na upungufu wa vifaaa.
Viva Arts : Unaonaje soko la muziki Tanzania na Nje?
Denno Manevia : Tofauti ipo kubwa sana nje na tanzania tz now inafahamika sana kupitia
muziki wetu na watu wa nje wanakubal sana tufauti ni ndogo sana kwasasa,Japo kwa nje watu wana peana sana sapot wa kunua orijino copy za kazi zao na wanakubali sana kazi zao
FOR MORE CHECK IT UP KESHO TUNAENDELEA PART 2